iphone

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka huu nataka nihamie iPhone, nasubiri iPhone 12. Je, nitakosa nini cha Android?

    Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake. Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, 📷 yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za kawaida za Pixel za Google, hata leo wame-launch Note 20 ila sioni kitu cha maana kipya. Product za...
  2. dunstech

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

    IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet. Kwa simu zenye sim card...
  3. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 7 Plus 32 GB (Used) Clean as new full box

    Nauza Iphone 7 Plus 32 GB - USED. Kama mpyaa.. kila kitu funciton as new 95% Battery Health Price: IMESHAUZWA Location: IMESHAUZWA Contact : IMESHAUZWA
  4. Pzika

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 11 inauzwa

    Iphone 11 128Gb duos 1.85M PURPLE 💜 Apple warranty available Call/whatsapp:::0715767420 Delivery mpaka mikoani
  5. Aerma

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 6 inauzwa 320000

    Habari! Simu aina ya Iphone 6 inauzwa sh 320,000/=.Simu ina crak kwenye kioo.Simu iko kwenye hali nzuri.Interest buyers nicheki Dm
  6. Rolandi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kama mjanja tuonyeshe iPhone feki kati ya hizi

    Hizi iPhone kuna moja feki nyingine original, taja kulia feki au kushoto original tujue kama unatambua hili. 1.Kulia...... 2. Kusoto.......
  8. C.K

    JamiiForums Tanzania Kununua simu (IPhone) toka XCITE, Mombasa

    Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa mzigo. Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi nunua kwao na mzigo ukafika kweli wasijekuwa...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utofauti wa iphone na simu za Android

    Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi? Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB Hapa nazungumzia utofauti kwenye jinsi inavyofanya kazi na uwezo wa kuhifadhi mafaili Achana na suala la chaji na...
  10. Miki123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blackberry walikwama wapi (utawala wa iphone & android)?

    Brackberry moja ya kampuni iliyouza smartphones kwa sehemu kubwa ya dunia. Unaikumbuka app ya BBM ilivyokuwa inaelekea kuipeteza facebook. Ilifika hatua brackbeery ilikuwa na marketshare ya zaidi 50% marekani na 20% duniani, unajua ukiliteka soko la US kwa kiasi hiki basi hata huko kwingine ni...
  11. long live my love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Iphone

    Wakuu Poleni na mfungo wa maombi ya kitaifa. Leo siku ya pili,na mimi sijawaangusha mana naomba haswaa. Tanzania bila corona inawezekana. Nije kwenye mada: Nimebangaiza vijisenti kwa muda nikaona bora na mimi nijitutumue ninunue japo iphone 7 walau kubadili radha ya hizi tecno za siku zote...
  12. Miki123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple waja na iphone ya bei nafuu iphone SE (2020)

    Apple wameamua kula sahani moja na makampuni yanayotengeneza budget phone. Apple wamezindua simu ya iphone inayoitwa iphone SE. Kitu kinachovutia kwa toleo jipya la simu hii ni bei nafuu kulinganisha na matoleo mengine ya hivi karibuni. Bei yake ni $399. Hii bei ni kubwa kwa sisi watumiaji wa...
  13. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Hii simu ni Iphone ama Huawei?

  14. Wakulonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi wa wenye simu za iPhone

    Habari wajanja wa mujini, Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi. Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
  15. Kim Il Kwon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji smartphone Samsung au iphone

    Napatikana Kagera Ngara. Bajeti yangu 350k. Mwenye kua nayo niPM.
  16. The Assassin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple yakubali kulipa zaidi ya USD 500M kwa wateja wamiliki wa Iphone 7 na Iphone 6

    Mwaka 2017 Apple iliwaomba radhi wateja wake wanaomiliki Iphone 7 na matoleo ya nyuma kwa kuzipunguzia kasi na ufanisi kwa makusudi ili tu watu wanunue matoleo mapya ya Iphone. Apple ilikuwa ikitoa software updates ambazo zitafanya aina hizo za simu kufanya kazi taratibu kuliko uwezo wake ili...
  17. Albert_2010

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

    Sold
  18. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tatuzi kuhusu hili la Icloud (apple id)

    Habari, Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
  19. sajjad54

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Can I send my photo from my iPhone?

    Can I send my photos from my iPhone to my PC with shareit?
  20. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu ku-restart simu yako angalau mara 1 kwa wiki

    Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
Back
Top Bottom