Iphone 14 ya mwaka 2022 kuja na notch punch hole front camera badala ya notch.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,456
17,206
Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa.

Mtindo huo mpya utakua kwenye simu za Pro ila nyingine zitabaki na notch. Kwenye design ama mitindo ya muonekano wa simu Iphone ziko nyuma sana kulinganisha na wapinzani wake wa Android.

Mimi binafsi nitanunua Iphone iwapo tu lile durisha pale juu litaondoka.
 
wazee wa android wako nazo tokea 2019.

2022 wanaondoa doa kabisa hapo.
 
Back
Top Bottom