iphone

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Apple yakubali kulipa zaidi ya USD 500M kwa wateja wamiliki wa Iphone 7 na Iphone 6

    Mwaka 2017 Apple iliwaomba radhi wateja wake wanaomiliki Iphone 7 na matoleo ya nyuma kwa kuzipunguzia kasi na ufanisi kwa makusudi ili tu watu wanunue matoleo mapya ya Iphone. Apple ilikuwa ikitoa software updates ambazo zitafanya aina hizo za simu kufanya kazi taratibu kuliko uwezo wake ili...
  2. Albert_2010

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone 8, 256 GB 950k

    Sold
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba tatuzi kuhusu hili la Icloud (apple id)

    Habari, Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
  4. sajjad54

    JamiiForums Tanzania Can I send my photo from my iPhone?

    Can I send my photos from my iPhone to my PC with shareit?
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu ku-restart simu yako angalau mara 1 kwa wiki

    Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
  6. kyesha

    JamiiForums Tanzania WhatsApp na iPhone 4

    Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa. Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2 Wataalamu Nielezeni jinsi ya kuinstall
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nimekuta email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone (iPhone 6)" naomba msaada

    Habarini wadau Nilipoteza IPhone yangu kila nikiitrack nakuta ipo offline ila leo kuna alert nimepata kwa email yangu inasomeka "activation Lock is requesting your password on iPhone" msaada tafadhali kama naweza kuipata.
  8. Mlendamboga

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha iphone 6plus

    Natafuta kioo cha iphone 6plus pamoja na bei yake if any Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom