Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,926
2,000
Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa.

Pia niulize, nilisikia kwenye onpoint ya clouds kuwa hii iphone 13 unaweza kupiga picha maneno halafu ukaextract maneno tu. Maana nilielewa kuwa unaweza kupiga picha kitabu halafu ukakiconvert kuwa word document. Lakini sijasikia apple wenyewe wakisema.

Hii feature ni kweli ipo? Kama ipo itarahisisha sana maisha.
 
Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
525
1,000
technology ya kukimbizana na masimu ni upumbavu.....As a real man jinunulie kismartphone chako cha kueleweka ambacho toleo lake angalau ni indate then endelea na majukum mengine.

Habar za kukimbizana na matoleo mapya kila siku ni utoto na kukosa majukum....haya mambo waachieni wauza sura huko insta&tiktok, humu ni kazi kazi tuu wajombaa
 
Inategemea na shughuli yako.
 
daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
989
1,000
technology ya kukimbizana na masimu ni upumbavu.....As a real man jinunulie kismartphone chako cha kueleweka ambacho toleo lake angalau ni indate then endelea na majukum mengine.

Habar za kukimbizana na matoleo mapya kila siku ni utoto na kukosa majukum....haya mambo waachieni wauza sura huko insta&tiktok, humu ni kazi kazi tuu wajombaa
Ndio wauza sura wenyewe sasa
Halafu wengine hawana majukumu kama wewe, wanatumia hela kazi wanafanya wengine
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
915
1,000
Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa.

Pia niulize, nilisikia kwenye onpoint ya clouds kuwa hii iphone 13 unaweza kupiga picha maneno halafu ukaextract maneno tu. Maana nilielewa kuwa unaweza kupiga picha kitabu halafu ukakiconvert kuwa word document. Lakini sijasikia apple wenyewe wakisema.

Hii feature ni kweli ipo? Kama ipo itarahisisha sana maisha.
Iphone na watumiaji wake bwana, mnajidai wajanja kumbe washamba tu, hio ya kuextract maneno ipo miaka nenda rudi, khs movie ni branding tu, wanamaaanisha vi-clip vya social media influencers. Huwezi kutengeneza complete high end movie kwa hio simu pekee.

Ila ni kawaida ya iPhone kuleta features af watumiaji wao kuona ni mpya kumbe kwa android tyr ni za kawaida sana.
 
ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
3,058
2,000
Mimi infinix yangu inafanya hiyo ya maswali harafu unaomba majibu online kutoka kwenye picha ya mtihani kitambo sana.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,926
2,000
Iphone na watumiaji wake bwana, mnajidai wajanja kumbe washamba tu, hio ya kuextract maneno ipo miaka nenda rudi, khs movie ni branding tu, wanamaaanisha vi-clip vya social media influencers. Huwezi kutengeneza complete high end movie kwa hio simu pekee.

Ila ni kawaida ya iPhone kuleta features af watumiaji wao kuona ni mpya kumbe kwa android tyr ni za kawaida sana.
Sijawahi kutumia iphone, usikariri. Na hilo la movie, kuna movie kabisa ya muigizaji mkubwa umeshutiwa na iphone mwanzo mwisho.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,215
2,000
Sijawahi kutumia iphone, usikariri. Na hilo la movie, kuna movie kabisa ya muigizaji mkubwa umeshutiwa na iphone mwanzo mwisho.
Tangerine au? Hizo ni movie za drama tu kama Bongo movie unakuta budget ni ndogo na una shoot tu watu wanaongea basi.

Movie kali inayohitaji editing na effects za kisasa huwezi shoot na iphone.

Iphone yenyewe system wide file manager haina huwezi hamisha mafile baina ya apps na apps hizo editing unafanyaje?
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,926
2,000
Tangerine au? Hizo ni movie za drama tu kama Bongo movie unakuta budget ni ndogo na una shoot tu watu wanaongea basi.

Movie kali inayohitaji editing na effects za kisasa huwezi shoot na iphone.

Iphone yenyewe system wide file manager haina huwezi hamisha mafile baina ya apps na apps hizo editing unafanyaje?
Kuna movie amecheza Cherize Theron. Imetengenezwa na iphone.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom