iphone

  1. 42774277

    Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

    Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member. Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
  2. BARD AI

    iPhone 14 Pro na Pro Max zinatumia sensor ya Camera yenye uwezo wa 48Megapixels

    Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP. Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP. Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
  3. Poker

    Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

    Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana. Congrats 👏...
  4. BARD AI

    iOS 16 imeshatoka, haya ndio mabadiliko yaliyomo

    Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16. iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15. 𝗞𝘄𝗮 𝘂𝗳𝘂𝗽𝗶 𝗶𝗢𝗦 𝟭𝟲 𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼: 🔘 Mwonekano mpya 🔘 Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
  5. BARD AI

    iOS 16 kuanza kutumika leo saa 2 usiku

    iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki! Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
  6. Poker

    Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
  7. BARD AI

    Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

    Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea. Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September. Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
  8. BARD AI

    Samsung ndiye mtengenezaji wa 82% ya vioo vya iPhone

    Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14 inatengenezwa na BOE ya China. Ripoti mpya za ndani ya Apple zinaonyesha Apple ina mpango wa kuingiza sokoni...
  9. BARD AI

    𝗠𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼 𝘆𝗮𝗹𝗶𝘆𝗼𝗽𝗼 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝟭𝟰

    Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max. iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano. 🔘 Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...
  10. Poker

    Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  11. DELETED ACCOUNT

    Nahitaji iPhone X used

    Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
  12. JanguKamaJangu

    Apple yadaiwa ipo njiani kuzindua simu ya iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022

    Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022. Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices Apple Inc. is aiming to hold a launch...
  13. madaili

    Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Nauza iPhone 8 Plus, 64 GB, simu ipo Dar es salaam. Bei ni 389,000 tshs. Negotiable. Kama unahitaji nicheki hapa au dm. Unaweza pia kunicheki Whatsapp: +8619974300439
  14. Anganjwiri92

    Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

    Habari JF, Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta. Hapa shida ni nini?
  15. Expensive life

    Phone4Sale Iphone 6s 128 gb inauzwa

    Ipo kipawa uwanja wa ndege price 400k haina tatizo lolote.
  16. mbinda_smartphones

    Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  17. A

    INAUZWA Original earphone za iphone zinauzwa

    used from japan 100% origanal deep base and best high quality dont pay before test warranty 1 year retail price 33,000 from 3 peace 27,000 wholesale delivery is free across town area call 0652472486
  18. all about

    Elon Musk ametuletea Smartphone ambazo zipo juu zaidi ya iPhone za huyu bwana Steve Jobes?

    Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya kwanza nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama nilivyojitambulisha kule kwenye jukwaa la wageni niko na hobby zingine mbalimbali hivyo mtalajie...
  19. Spinster

    Iphone 8 plus inahitajika

    Habari wapendwa, nahitaji Iphone 8 plus.. kubwa iwe kuanzia gb128
  20. OGTV

    Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
Back
Top Bottom