inawezekana

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

    Salaam Wakuu, Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa baada ya Press ya Leo ya Tundu Lissu, Nimebaki najiuliza, nani aliyeahidiwa Ubunge na Uwaziri...
  3. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nikamuoe mtoto wa mwenyekiti kiti pale machame Hai je mimi kapuku inawezekana?

    Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo ndoto yangu ya kila siku aiseee kwa sababu najua nikimuoa yule mimi umasikini bye bye na hakika...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Manara akaondoka na wachezaji "wake" Walioko Yanga, wakahamia Azam?

    Set up inapangwq vizuri tu, na inawezekana siku "atakayoongea" Tutajua mengi, kwa sasa ni suala la pasenti atakayopata kutoka kwa tajiri na kila mchezaji, Manara "anawadalalia" Wachezaji wa Yanga kwa big boss mzee wa aiskrim. Kwa sasa Vita imehamia kwa Hashim, maana kwa Ally, Dua zake zake za...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana utekaji na upoteaji unaotokea haufanywi na Watanzania?

    Tangu awamu ya Tano zilisikika tetesi Kuna wageni wanashiriki ulinzi was wakubwa,lakini tetesi hizi hazikukanushwa wala kutolewa maelezo coz ishu hizi ni nyeti sana! Mwaka jana kukapitishwa Sheria ya kitengo kisiingiliwe kwenye utendaji wake pale inapokua kwenye operation na sasa Kuna kelele za...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Kikeke katumwa na kufadhiliwa kimkakati na waajiri wake wa zamani?

    Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
  9. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kufuta taarifa zako zote kwenye intaneti?

    Kuna uwezekano wa kufuta taarifa zangu zote kwenye internet isomeke sijawahi kutumia internet kabisa?
  10. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    JamiiForums Tanzania Kusimamia unachokiamini ktk nyanja yoyote ile inawezekana kutoboa.

    KUSIMAMIA UNACHOKIAMINI KTK NYANJA YOYOTE ILE INAWEZEKANA KUTOBOA. -UVUMILIVU. -MENTAL TOUGHNESS.
  11. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

    Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan? Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo...
  12. Mzee Nyerere

    JamiiForums Tanzania CCM yalaani mauaji ya mjumbe wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao

    === CCM YASIKITISHWA KIFO CHA MJUMBE WA SEKRETARIETI YA CHADEMA YATOA POLE. "Nimeona kwenye Vyombo vya Habari kuanzia asubuhi mpaka sasa nitoe pole kwa Chama cha Chadema kwa kumpoteza mmoja wa Wajumbe wa Sektarieti bwana Ali Kibao nimekuwa nikifuatilia sisi ni vyama vya siasa linapokuja suala...
  13. Optimists

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kusoma CPA na kufanyiwa recategorization bila kua na degree ya uhasibu?

    Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
  14. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki inawezekana kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu?

    Salaam wakuu, Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa. Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha Kucheat imekuwa kitu Cha...
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuijua ID ya mtu kwa kutumia screenshoot aliyoituma au link alizo share mtandaoni?

    Habari wakuu, Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini Kisha nikaipost humu ili kunogesha mjadala Inaonyesha muda nilio screenshoot ni saa 12 na dakika...
  16. ibrahim Traore

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania?

    Habari wana jf. Nimejiuliza labda nimechelewa kupata ufahamu wa hili jambo. Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa Zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania. Akapata haki ya ku miliki (ardhi) na fursa za ajira zinazo tangazwa kwa wazanzibari pekee? Kwani wa...
  17. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tukio la binti aliyebakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko

    Wakuu, Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika. Kufikia jana imetoka taarifa kwamba vijana waliohusika kutenda unyama huo wameshikiriwa. Lakin kama ambavyo tuliwaona waliohusika...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana simba ikatangaza ticket Sold out siku 2 kabla

    Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc bado mambo magumu! Tena sanaaaa Mimi Kwanza naona kinqchowaponza zaidi yanga kuna mvutano kwa...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Polisi ya Kenya kushirikiana na LSK uchunguzi wa miili 11 ilio kutwa Dampo. Je Tanzania hii inawezekana?

    Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana ukaomba ajira mkoa mwingine na ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba?

    Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
Back
Top Bottom