Inawezekana Kinana na genge lake wanamuhujumu Mama?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Nashauri Mama awe makini sana. Kinana ana watu wake wenye uchungu na kufikiria wenyewe ndiyo wenye chama. Watu hao ni

1. Makamba
2. Nauye
3. Mwigulu
4. Ridhiwani

Na wanataka kutafuta njia ya kumweka mtu wao hasa Makamba. Mwigulu kaingia kwenye hiyo group kwa kujipendekeza. Kinana alimwambia Mama yeye anaweza kujadiliana na Chadema halafu kimenuka matapishi yake anataka ale Mama. Ubaya Mama aliweka imani sana kwa tapeli huyu Kinana.

Kinana anajulikana kwa kujali biashara zake binafsi na yeye anachukulia chama kama njia ya kulinda wao. Namshauri Mama kurudi mezani na yeye mwenyewe akiwa mezani maana njama za kumwaribia zimebahidika.

Makamba badala ya kufukuzwa alipata nafasi nyeti! wakina kikwete na kinana wamegeuza CCM kama yao binafsi. Bila Mama kuwa mkali watamwachia matapishi ambayo hata weza kuyasafisha halafu watampamba Makamba kama vile ndiyo ataweza kuleta suluhisho.

Lakini ukweli ni kwamba wakina kinana na Kikwete wanataka kuwa Raisi kwa remote control.
 
Nashauri Mama awe makini sana. Kinana ana watu wake wenye uchungu na kufikiria wenyewe ndiyo wenye chama. Watu hao ni

1. Makamba
2. Nauye
3. Mwigulu
4. Ridhiwani

Na wanataka kutafuta njia ya kumweka mtu wao hasa Makamba. Mwigulu kaingia kwenye hiyo group kwa kujipendekeza. Kinana alimwambia Mama yeye anaweza kujadiliana na Chadema halafu kimenuka matapishi yake anataka ale Mama. Ubaya Mama aliweka imani sana kwa tapeli huyu Kinana. Kinana anajulikana kwa kujali biashara zake binafsi na yeye anachukulia chama kama njia ya kulinda wao. Namshauri Mama kurudi mezani na yeye mwenyewe akiwa mezani maana njama za kumwaribia zimebahidika. Makamba badala ya kufukuzwa alipata nafasi nyeti! wakina kikwete na kinana wamegeuza CCM kama yao binafsi. Bila Mama kuwa mkali watamwachia matapishi ambayo hata weza kuyasafisha halafu watampamba Makamba kama vile ndiyo ataweza kuleta suluhisho. Lakini ukweli ni kwamba wakina kinana na Kikwete wanataka kuwa Raisi kwa remote control.
Kwenye hii listi, ongezea Bashe
 
JamiiForums-787880945.jpeg
 
Hamna lolote........
Hamna hujuma.....
 
Back
Top Bottom