Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,106
1684822634050.png
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi.

Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi iliyoshindwa kutokana na Uchumi kuyumba kwa sababu mbalimbali na nyingine zimechangiwa na udhaifu wetu wa kushindwa kusimamia vizuri hali ya Uchumi".

Kwa mujibu wa Taasisi ya #iVolunteerInternational, Afrika Kusini inakabiliwa na ongezeko kubwa la Vijana wasio na Ajira wanaofikia 63.4% huku wengi wao wakiishi chini ya Mstari wa Umasikini.

==================

The secretary general of South Africa’s ruling African National Congress Party (ANC) has said the country could become a failed state as incessant power cuts threaten to cripple the economy.

Fikile Mbalula told the BBC that “if certain things are not resolved, we will become a failed state, but we are not journeying towards that direction”.

In an exclusive interview with Stephen Sackur for the BBC’s Hardtalk programme, Mr Mbalula said that South Africa’s economy “has been battered”.

He said while external forces such as the global economy, impact of Covid, and war in Ukraine all played a role, the blame also lay partly with “some of our own weaknesses in terms of managing the economy well”.

One in two young South Africans are unemployed and 60% of South Africans are living under the poverty line. But the country “is recovering well”, Mr Mbalula said.

Defending the ANC’s economic record after almost three decades in power, Mr Mbulala said the government had cushioned "our people from the worst, after a legacy of 300 years of deprivation and a mismanaged country and economy".

He acknowledged that regular "load shedding", an ongoing period of widespread power cuts, was at the heart of the country's woes - and with dire consequences.

He said this could affect the political fortunes of the ANC in next year's elections.

“It will effect the fortunes of the ANC to receive just an outright majority…if it is not dealt with decisively”, he said.

BBC
 
Kosa kubwa ambalo waafrika tumefanya na ambalo litatutafuna milele ni kung'ang'ania kutawala wakati hatuna kipawa cha kutawala hasa eneo kubwa lenye kuwa na hadhi ya kuitwa taifa.

Hakuna nchi ilikuwa ni Heaven on Earth kama Afrika Kusini kipindi ikitawaliwa na mtu mweupe lakini tabu kama kawaida ilianza pale nchi ilipoanza kutawaliwa na waswahili ndio hivyo tena hadi umeme unakuwa wa mgao. Bure kabisa.
 
South wangekamilisha mchakato wa kununua umeme Tanzania na kuanza ujenzi wa line ya umeme kupitia baharini ili bwawa la mwalimu litakapokamilika nao waanze kunufaika...
Tofauti na hapo, hali yao itazidi kuwa mbaya siku za usoni.
Kule ni jangwani pia kuko karibu na usawa wa bahari. So advantage tuliyo nayo ya kuzalisha umeme wa maji hawana...
 
Ramaposa yuko bize na vita ya ukraine na russia
 
South wangekamilisha mchakato wa kununua umeme Tanzania na kuanza ujenzi wa line ya umeme kupitia baharini ili bwawa la mwalimu litakapokamilika nao waanze kunufaika...
Tofauti na hapo, hali yao itazidi kuwa mbaya siku za usoni.
Kule ni jangwani pia kuko karibu na usawa wa bahari. So advantage tuliyo nayo ya kuzalisha umeme wa maji hawana...
Tanzania ipi hii ambayo umeme wake unazidiwa hata na kibatari na hakuna siku Tanzania itakuwa na umeme wa uhakika hata hilo bwawa likiisha, watakuja tena na visingizio vingine kwani ndio jadi yetu.

Wakati wa Mwinyi tuliambiwa mgao wa umeme utakuwa historia, wakati wa Mkapa hivyo hivyo, akaja Kikwete hadithi ikawa hiyo hiyo, Magufuli hivyo hivyo na huyu wa sasa naye anaendeleza sera ile ile.

Tanzania nayo inatawaliwa na waswahili walewale ambao dhumuni lao kuu ni kutawala kwani hawana ajenda nyingine tofauti.
 
Hawa ndio Mwigulu Huwa anakwambia wajikite kwenye gani zao za Uganga..

Uchumi uko kwenye Hali mbaya ipi? Watu Wana uhakika wa msosi,wanapata Ajira, biashara zinafufuka,Huduma za jamii zinaimarika nk

Hiyo Hali mbaya ni ipi hasa?
 
Umeme huu ambao hata sisi wenyewe kwenye miundo mbinu yake bado tuna sua sua? Be serious man
 
Kosa kubwa ambalo waafrika tumefanya na ambalo litatutafuna milele ni kung'ang'ania kutawala wakati hatuna kipawa cha kutawala hasa eneo kubwa lenye kuwa na hadhi ya kuitwa taifa.

Hakuna nchi ilikuwa ni Heaven on Earth kama Afrika Kusini kipindi ikitawaliwa na mtu mweupe lakini tabu kama kawaida ilianza pale nchi ilipoanza kutawaliwa na waswahili ndio hivyo tena hadi umeme unakuwa wa mgao. Bure kabisa.
Kwamba afrika kusini ilikua Pepo duniani kipindi Cha mkaburu!!..mkuu na wewe hunywa mkojo wa ng'ombe asubuhi na mavi yake kidogo!?
 
Tanzania ipi hii ambayo umeme wake unazidiwa hata na kibatari na hakuna siku Tanzania itakuwa na umeme wa uhakika hata hilo bwawa likiisha, watakuja tena na visingizio vingine kwani ndio jadi yetu.

Wakati wa Mwinyi tuliambiwa mgao wa umeme utakuwa historia, wakati wa Mkapa hivyo hivyo, akaja Kikwete hadithi ikawa hiyo hiyo, Magufuli hivyo hivyo na huyu wa sasa naye anaendeleza sera ile ile.

Tanzania nayo inatawaliwa na waswahili walewale ambao dhumuni lao kuu ni kutawala kwani hawana ajenda nyingine tofauti.
Mida ya kulala weka simu yako chaji
 
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi.

Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi iliyoshindwa kutokana na Uchumi kuyumba kwa sababu mbalimbali na nyingine zimechangiwa na udhaifu wetu wa kushindwa kusimamia vizuri hali ya Uchumi".

Kwa mujibu wa Taasisi ya #iVolunteerInternational, Afrika Kusini inakabiliwa na ongezeko kubwa la Vijana wasio na Ajira wanaofikia 63.4% huku wengi wao wakiishi chini ya Mstari wa Umasikini.

==================

The secretary general of South Africa’s ruling African National Congress Party (ANC) has said the country could become a failed state as incessant power cuts threaten to cripple the economy.

Fikile Mbalula told the BBC that “if certain things are not resolved, we will become a failed state, but we are not journeying towards that direction”.

In an exclusive interview with Stephen Sackur for the BBC’s Hardtalk programme, Mr Mbalula said that South Africa’s economy “has been battered”.

He said while external forces such as the global economy, impact of Covid, and war in Ukraine all played a role, the blame also lay partly with “some of our own weaknesses in terms of managing the economy well”.

One in two young South Africans are unemployed and 60% of South Africans are living under the poverty line. But the country “is recovering well”, Mr Mbalula said.

Defending the ANC’s economic record after almost three decades in power, Mr Mbulala said the government had cushioned "our people from the worst, after a legacy of 300 years of deprivation and a mismanaged country and economy".

He acknowledged that regular "load shedding", an ongoing period of widespread power cuts, was at the heart of the country's woes - and with dire consequences.

He said this could affect the political fortunes of the ANC in next year's elections.

“It will effect the fortunes of the ANC to receive just an outright majority…if it is not dealt with decisively”, he said.

BBC
Not in my Country 😭🤐
 
South wangekamilisha mchakato wa kununua umeme Tanzania na kuanza ujenzi wa line ya umeme kupitia baharini ili bwawa la mwalimu litakapokamilika nao waanze kunufaika...
Tofauti na hapo, hali yao itazidi kuwa mbaya siku za usoni.
Kule ni jangwani pia kuko karibu na usawa wa bahari. So advantage tuliyo nayo ya kuzalisha umeme wa maji hawana...
2115MW sidhani kama itaweza kutosheleza Tanzania na SA. Plus construction cost plus kuongezeka kwa mahitaji
 
Sisi hatutaweza kuutumia umeme wote kwa mara moja. Tutakuwa na ziada kubwa kutoka kwenye hizo megawatt 2000. Wasauzi wanaweza kupata hadi mega watt 1200 kwa kipindi cha miaka kumi na kwa kadri mahitaji yanavyo ongezeka tutawapunguzia supply.
Construction cost sio kubwa sana kwa kuwa waya hazipiti kwenye nguzo; zinapita baharini.
 
Hawa ndio Mwigulu Huwa anakwambia wajikite kwenye gani zao za Uganga..

Uchumi uko kwenye Hali mbaya ipi? Watu Wana uhakika wa msosi,wanapata Ajira, biashara zinafufuka,Huduma za jamii zinaimarika nk

Hiyo Hali mbaya ni ipi hasa?
Biashara zipi mkuu? Za sweety na scrap? Au nyapu?wena!
 
Back
Top Bottom