Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
Ni kwa ajili ya kazi zangu za kisanaa (muziki)
Visitor anapoingia kwenye site akutane na song list from recent released. Anapobofya muziki x, aletewe selection za (i) Play Audio, hapa nitahitaji huo muziki u play kwenye site. (ii)Play video, hapa nitahitaji visitor apelekwe kwenye You Tube channel yangu kutazama video lengwa bila kona kona (single tap). (iii) Download Audio pamoja na (iv)Download Video, hapa muziki upakuliwe bila usumbufu
Chini ya hizo selection iwepo cover photo ya muziki husika ikiambatana na details
Ziwepo icon za social media za facebook, instagram, tiktok na twitter ambazo visitor akizibofya, zitampeleka moja kwa moja kwenye official pages na account zangu
Kila muziki uwe na kiungo (link), blog iwe easily searched kwenye google search kiurahisi, sio hivyo tu, bali hata wimbo unaokuwa uploaded unatakiwa kuwa easily searched kwenye google
Iwe rahisi kutumia. Niweze kuupload pasipo muundaji. Niwe na access ya kulogin
Naweza tengenezewa blog hii kwa gharama rafiki ya kiasi gani? Na wapi wanatengeneza hii kitu mkoani Dsm?