Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).
Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...
Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta...
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030.
Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo.
Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
Kwanza sadaka sitoi
Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe
Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
Alipo ingia makamba tuliambiwa ameomba tilion sita sababu matengenezo hayajafanyika kwa miaka mitano ya Magufuli. Huyu waziri wa sasa ameomba bei gani!?
Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?".
Aisee! Ile kauli...
Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa.
Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae...
Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR).
KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN NATAL..
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Man Robbed After Dispute Over Sex Worker Payment: Verulam CBD - KZN
A man was...
Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn?
Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
Jambo watanzania
Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo...
Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano.
Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho
Mpaka week inaisha itakuwa Powa
Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.