Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

Mallerina

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
2,940
Reaction score
7,063
1002686701.jpg
1002686701.jpg
maamuzi mengine kumpa mtu magumu....

Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign

2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)

3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini

4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah

Wanaume sio watu ila sio wote

5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...

6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....

Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
 
Kwani yeye nia yake ilikuwa ni kuwa na photographer au mtu anaempenda? Yaani huyo mwanaume bila u-photographer hafai kwake? Na alikubali kumvulia ili apewe kazi?

Unamwambia mwanamke unampenda, anakuuliza kwani wewe ni photographer? Unajibu nini? Halafu swali la pili, nikikupa utanitafutia kazi? Utajibu nini?
 
View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....

Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign

2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)

3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini

4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah

Wanaume sio watu ila sio wote

5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...

6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....

Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Maamuzi anayo mwenyewe
 
Mambo Yao waache wenyewe watapambana
 
Kwani yeye nia yake ilikuwa ni kuwa na photographer au mtu anaempenda? Yaani huyo mwanaume bila u-photographer hafai kwake? Na alikubali kuvulia ili apewe kazi?

Unamwambia mwanamke unampenda, anakuuliza kwani wewe ni photographer? Unajibu nini? Halafu swali la pili, nikikupa utanitafutia kazi? Utajibu nini?
Hahaha
 
View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....

Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign

2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)

3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini

4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah

Wanaume sio watu ila sio wote

5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...

6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....

Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Huyo Dada wakati anatongozwa qlijipa muda wa kimfahamu jamaa? Au good times zilimlevya? Dada zangu tumieni logic hata Kwa 0.05% kabla ya kuamua jambo. La sivyo Kila maamuzi yataweza waumiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom