Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 2,934
- 7,049
View attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...