cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,949
- 5,157
Guys hope mko Salama. Kwenye pitapita zangu za utafutaji kuna omba omba mmoja ni mlemavu wa miguu.
Yani ni wale mikono ni miguu na miguu imelegea kabisa haina kazi...anatembelea wheelchair kwa kusukumwa na ndugu yake. Sasa huyu mhitaji alikuwa anafika kila siku kupata huduma maeneo ninapotafutia riziki.
Binafsi huwa akifika ninamkaribisha na kuhakikisha amehudumiwa na amekuwa muda wote anatabasamu. Kumbe mwenzangu ana wazo lake moyoni bwana.
Kazi inaanza akaomba namba ya simu madai yake anataka awe anauliza kama tumefungua au lah kabla hahaha.
Nikampatia bila hiyana. Baada ya kutoa namba akawa anasumbua kupiga me nikawa namkatia.... Siku iliyofuata akarudi bwana amefuraaaa kwa hasiraaa. Me nikakausha akahudumiwa akapita hivi.
Sasa Jana amerudi tena akawa ana furaha lakini analalamika sana eti nimemdharau. Ananiambia "wewe nikubali bwana shida ndogo ndogo utazisikiaa kwa jirani.
Vipengele vyako vyote we niachie." Yule anayemsukuma kwenye wheelchair anasema jamaa ana mpunga mrefu hatarii. Na kweli kila wakimaliza matumizi wanaingia mpesa kudiposit...
Sasa Mimi nimejiuliza huyu kaka/baba kwa Hali ile anapewaje pewaje? Halafu kumbe omba omba wana HeLa kiasi hicho kwamba miamala ya million + anatatua bila shida? Na amekubali kila siku akae kwenye lami kutafuta miamala kwa kudhalilika kumbe ana akiba kubwa tu?
Me nikiwaona omba omba nawahurumia natoa ki buku cha akiba wakati mwingine Hadi mbasa au vitaraa halafu ndo wanakuwa na ka umalaya hivi? Asee nimeamini dar kila mtu ana njia yake ya utafutaji.
Back kwenye point kusema kweli me namuonea huruma kwamba nimpee na Hali ile hapana. Nitakuwa nambaka.