Huyu Simai katumwa?-The Zanzibari Collusion

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,135
Reaction score
29,792

Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yuda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.

Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.

Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.

Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.

Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
 
Kuna mada nilishawai kusema .Siku alipopewa uraisi na kwenda kwa wajomba zake huko omani ulijua nini kinafata.

Yule anarudisha hasira za wanzanzibar na mkiendelea kumchekea kunawezekana kufutika kwa tanganyika na kuwa na utawala wa Zanzibar.Sasa kila idara ,kila vitengo wajipa wao wanzanzibar

Sasa
 
View attachment 3600320
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yeda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.

Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.

Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.

Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.

Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
Kumekucha🔥🔥🔥🔥
Zile damu mlizomwaga 29th-Oct-2025 zinaendelea kuchemka.
Samia na Hussein Mwinyi ndiyo wamemtuma huyo Simai, it's about time hata nyinyi kenge wa mbogamboga muuseme ukweli ulivyo kwa faida ya Tanganyika. Circumstantial realities zinadhihirisha kuwa Samia na Hussein Mwinyi wamemtuma katika muendelezo wa kuhakikisha Zanzibar inaendelea kuikandamiza, kuinyanyasa, kuibagaza, kuipora na kuitesa Tanganyika.
 
Salamu hizi ziwafikie Lukas mwashambwa na nduguye tlahtlah!
 
View attachment 3600320
Tunaendelea kushangaa matamshi ya huyu jamaa, Mzanzibari, eti Makamu wa Rais Nchimbi ni Yeda na msaliti.
Haya ni matamshi mazito kwa kiwango chochote.

Kwanza, sijui kama swala la usaliti, Bungeni ni mahali pake.

Pili, hatukuwahi kumsikia huyu Simai akilaani mauaji ya Oktoba 29, ambayo yalitekelewa kwa ushikiano na vikosi vya Zanzibar.

Tatu, ni ukosefu wa heshima na utovu wa nidhamu kwa matamshi haya ya ndugu Simai.

Nne na si mwisho, kila mtu ajajiuliza kuwa katumwa na nani?
Na je, hii ni ajenda ya Wazanzibari?
Rais tunayemtambua Tanganyika ni Dr. Nchimbi.
 
Nyie si bado mko usingizini ngoja wazenji wawapelekeshe.
 
Back
Top Bottom