huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. TheMaster

    JamiiForums Tanzania JE HUYU SALMAN NILESH NI NANI

    Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  3. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania Huyu harudii tena

    Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati. Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena. Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
  4. M

    JamiiForums Tanzania Umemuona huyu phd from udsm?

    Maphd wangapi wanaweza kufanya hivi?
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

    Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri, Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii Lakini demu ni...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu PSL god mnamuelewa ?

    Wakuu! Niliingia humu mida fulani nikakutana na uzi wa Dada yangu Binti wa zamani akihoji hizi notifications za 🤬🤮 inakuwaje ? Na wadau wakamlenga moja kwa moja kwamba huyu Member wa kuitwa PSL god ndio kazi yake . Sasa nawauliza wenzangu huyu Member ana tatizo gani ? Mpaka anakuwa anaweka...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuache kumshambulia Lema, ndugu huyu akishambuliwa Usiri humuondoka na huanika ukweli halisi

    Nadhani mumeyaona wazi wazi,tunashukuru sana sisi CDM wafia chama tumemuelewa adui wa chama chetu,tunasema Heche Achia ngazi mara moja hufai na umeshindwa hata kutii maagizo ya mwenyekiti wetu, posibly unatumika na vigogo ndani ya CCM, Tumejiridhisha hutufai....tena ndani ya chama chetu, sababu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana kuvuka mipaka.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu. Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani. Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hali ya kizimbani siku ya hukumu ya kesi ya uhaini, ikawa kama ya huyu muungwana kwenye video.

    Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana. Ni muhimu sana kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, ili hatiame kuepuka hali za taharuku na kuchanganyikiwa kama hizi.:NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huyu tapeli mwenye namba +255799102280 tangu jana ananisumbua eti yeye ni vodacom customer care!

    Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita kwahiyo ametuma malalamiko vodacom nimrudishie pesa zake!!!! Nimemuambia magereza inamhusu maana...
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio kiumbe hatari zaidi Dunia

    Huua watu 800k kwa mwaka
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee apumzike sasa Heee!!!

  15. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

    Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu.. Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko.. Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi...
  16. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Leo nimemkomesha huyu mpangaji mwenzangu.

    Nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salamu nikimaliza kuandika uzi. Sasa...... Huyu piss ni mpangaji mwenzangu, kila jumapili yeye anakuaga mapumziko na haendi kazini. Kilicho nikwaza ni kila anapokua mapumziko anaanika chupi zake kwenye kamba yote hasi inajaa, yaani sijui hua anavaa...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Shee Mwaipopo wa kupiga mikwara watu

  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Ushauri nimuoe huyu singo maza

    Waja naomba mnishauri kuhusu huyu singo maza Kuna singo maza nimepiga sound akajaa kwenye mfumo ni kibinti kina 23 tu Afu kananiambia nikaoe nikaweke ndani Shida anamtoto miaka 2 tu afu bado wanawasiliana na baba wa mtoto nikikaoa kataniletea shida maana nikarembo kafundi cherehani afu kana...
  19. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nadili vipi na huyu mzungu msumbufu asietaka kulipa deni langu.

    As salaam alaykum Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea. Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Huyu Chawa alikuwa ni Team Dr Emmanuel Nchimbi. Kapigwa na kitu kizito mpaka haamini!

    Ni Tlaatlaah Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi. Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata yeye keshatekwa, hajulikani yuko kwenye "house arrest" ipi.. Wamebaki Chawa Team Samia wenye roho...
Back
Top Bottom