Huyu naeye tutamfatilia ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†

Huyu naeye tutamfatilia ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†

Tafuta daycare yoyote nzuri iliyo karibu nawe wakufundishe kuandika kwa ufasaha kijana
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mkuu mbona hapo amejitahidi sana, isitoshe huyu ni miongoni mwa waasisi wa jf ila somo la mwandiko ni kamzozo.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Mkuu mbona hapo amejitahidi sana.
Amejitahidi sana? Inaonesha kuwa siku za nyuma alikuwa ana hali mbaya sana kiuandishi na kama kuna maendeleo basi mafunzo kutoka kwa daycare anayosomea ameanza kuyaelewa
 
  • Thanks
Reactions: al1
Hata nimeshanga.!

Kweli Kuna wahuni wanazeeka
 
Ty
 

Attachments

  • Screenshot_20260717-194339_Lite.jpg
    Screenshot_20260717-194339_Lite.jpg
    183.2 KB · Views: 5
Ty
 

Attachments

  • Screenshot_20260717-194335_Lite.jpg
    Screenshot_20260717-194335_Lite.jpg
    165.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom