Dooh 😪 kweli inauma mnoo lakini kama una familia yako na Mke wako anakuheshimu songa mbele huwezi jua kipi ulikiepuka baada ya huyo mwanamke kuchukuliwa na huyo Mbunge.
Inauma sana kuwekeza hisia zako kwa mtu ambaye hana maamuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.