de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,307
- 22,419
Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa.
What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy.
Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa,
Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi enzi za prime yake.
Just because alikuwa na a custody kwa kina Usher ndo aka chukua maamuzi ya kumspoil dogo. Skia dogo anamwambia atafte mademu... Inaonesha kabisa he had been doing that more often
Issue ni kuwa malezi mabaya sio tu himuathiri mlengwa physically and emotionally, hii huleta trauma.
Huwa napenda kutolewa mfano wa trauma. Kwa karatasi iliyo finyangwa.
Karatasi yaani mtoto huja ulimwenguni akiwa karatasi mpya nyeupe safi ila trauma hufinyanga ile karatasi.
Sasa hata kama ukiikunjua ile karatasi haita rudi kama mwanzo tena, ule mfinyango utaiharibu karatasi milele
Ndo kilicho mkuta Justin baadae na huyo mshenzi ndo chanzo. Hizo hela angepeleka Africa akaanzisha hata organization ingekuwa poa zaidi.