hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hongera Jokate na UWT kwa kuwashika mkono Hanang wakati huu wa shida

    Anaandika Jokate kupitia twitter. "UWT kwa kutambua waathirika wakubwa wa majanga kama haya ni akina mama na watoto, leo tumefanya kikao cha dharula na kuanza zoezi la kutafuta vifaa vya kuwasaidia wakina mama na watoto walioathirika na maafa Hanang, Manyara. "Kwa siku ya leo tumeanza na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hongera Daniel Chongolo kwa kuwa muwazi na kuukataa mfumo dhalimu

    Viongozi wengi hung’ang’ania madaraka mpaka watolewe lakini angalau umeonesha njia nyingine kwa wenzako CCM. Umeonesha kuwa hupendi kukokotwa kama punda kwa maslahi ya wachache. Umeonesha hukupenda utendaji wa hovyo wa viongozi wa CCM akiwemo Makonda na Samia. Umeonesha kuwa CCM kuna mgogoro...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera Yeriko Nyerere kwa kutwaa Tuzo

    (hapa inakaaga salamu) Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria. Umepeperusha bendera ya Tanzania ==== Leo nilifika mbele ya Wizara ya Wizara ya sanaa ambapo Wizara iliandaa hafla ya kuwapongeza Watanzania waliotwaa tuzo za Kimataifa...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

    Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!! Aliyepewa kapewa. Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli. --- Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Jux kwa mafanikio haya

    Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1. Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana kibiashara. Sisi wapenda burudani na maendeleo ya vijana tunakupongeza sana na tunafurahi kuona kijana...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Madeleka anavyomtukana Dr. Makakala mitandaoni, itoshe kusema Makakala ana roho ya uvumilivu. Uongozi ni Busara na hekima, hongera mama

    Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo. Dr. Makakala ni kiongozi wa taasisi ya usalama nchini anayepitia magumu kutoka kwa wale wanaotamani aondolewe kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hongera RC Chalamila Kwa utumishi uliotukuka Kwa Kupambana na biashara haramu ya ukahaba, LAKINI.....

    Salaam, Shalom!! Ulichokifanya ni WAJIBU wako kama kiongozi, ila Si vibaya kukupongeza sababu wamekuwapo wakuu wa mikoa wengi tangu uhuru lakini hawakupata mafanikio kama uliyofikia Hadi sasa!! Kongole!!!🙏 Kupambana na biashara ya ukahaba inahitaji mtu kuwa na akili kama ya Mwendawazimu...
  12. JamiiForums Tanzania Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera intelejensia ya CCM kumuibua game changer, Paul Christian Makonda (PCM)

    Katika kipindi ambacho wapiga Dili wapo kileleni mwa zamu Yao baada ya kubanwa takribani miaka SITA ya mwenda zake,kelele na vilio vinasikika Kila Kona nchini kwa ubadhirifu na upigaji unaoendelea! Ilihitajika nguvu mpya chanya Ili kuenzi zama za awamu ya Tano kurudisha chama kwenye msitari...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Tulia. Sasa unatosha kuchukua kijiti 2030

    Nianze kwa kukupa pongezi kwa ushindi wako. Umeliwakilisha vyema taifa. Hongera sana Nimeangalia ulivyojinadi. Kusema kweli umeonesha uwezo wako kama mwanamke mahiri. Ujumbe wangu kwako Dkt Tulia- Jijenge vizuri kimataifa, jijenge vizuri kuijua Dunia na Siasa zake. Jipe muda kujifunza sana na...
  15. JamiiForums Tanzania Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kuwajali wanyonge

    Asalam Aleykum. Leo katika pita pita yangu kwenye taarifa mbalimbali, nimevutiwa sana kumwona Mh. Rais Samia akiwa sokoni, huku akinunua baadhi ya bidhaa na kuahidi kuwapa mitaji baadhi ya wajasiriamali wadogo wadogo. Binafsi nimejisikia faraja na namwombea aendelee kuwajali wananchi wa hali...
  17. JamiiForums Tanzania Hongera Mama Zara kwa Tuzo ya Kampuni Bora ya Utalii Afrika

    Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor . Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa Ph.D Nyingine ya Heshima, Akemee Kuitwa Dr? Kuna Haja TCU/MCT/Maelezo Kutoa Ufafanuzi/Muongozo kwa Media Kuita Watu Dr?

    Wanabodi, kama kawa, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni pongezi kwa Rais Samia kwa kutunukiwa Ph.D nyingine ya heshima, Je wajua mtu kutunukiwa Ph.D ya heshima, hakumfanyi mtunukiwa kuitwa Dr. as an official title? Ila ni rukhsa kuitwa Dr...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye Pengo la Mzee Mengi lazibwa, Hongera Waziri Makamba

    Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone . Mpango huo ulipotea baada ya Mzee huyo kufariki Dunia . Sasa leo Waziri wa mambo ya kigeni January Makamba amewaleta Wahindi ili kuziba Pengo hilo. ---...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…