hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hongera DP world kwa kutua Tanzania

    Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu. Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, matendo huongea kwa sauti kuliko maneno

    Hakika inabidi tukupe hongera kubwa sana mama Samia, umetufundisha Watanzania kuwa "matendo huongea kwa sauti kuliko maneno" (actions speaks louder than words). Tukitazama mitandaoni na jinsi mambo yanavyodhaniwa na wapenda maneno kuwa ndiyo yalivyo, inabidi nikupe heko na hongera nyingi sana...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya Awamu ya 6! Hongera CCM! Hivi ndo mnavyopaswa kwenda

    Kwa muda mrefu sana, Maendeleo ya Tanzania yamekuwa yakirudishwa nyuma na mambo mbalimbali ikiwemo 1. Hujuma kutoka mataifa jirani 2. Hujuma za wafanyabiashara wakubwa 3. Ujinga wa Watanzania Kusema ukweli tangu nimeanza kupata akili nimesikia mipango mingi sana ya nchi yetu ambayo mwisho...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

    Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa.... Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021! Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
  6. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Nchi imechangamka, watu wanafunguka bila uoga. Hongera Rais Samia

    Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao. Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hongera Sana TCU kwa Kuanzisha mfumo wa Paper writing

    Huyu Prof aliyegundua mfumo wa Paper writing kwa hawa post graduate alifanya Jambo moja zuri na msaada sana kwenye kuwajengea uwezo wasomi wetu wa kulinganisha hoja (speech with references) Huwa naumia sana ninapoona Hawa wasomi wa miaka ya nyuma kidogo wanapoita press harafu wanakuwa hawana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Putin kwa kujiondoa Ukraine

    Kwa wale wazoefu wa hizi mambo kama kina Mshana Jr watakuwa wamenielewa
  12. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Hongera waziri Bashe, hongera Serikali. Lakini ongezeni haya kwa ufanisi zaidi

    Serikali imesikia kilio cha watanzania. Ilifikia WAKENYA na Wanyarwanda wanakuja Tanzania na kuingiza Mashambani kulangua mazao, mpaka kulangua mazao mabichi yakiwa shambani. Nimeshuhudia Mnyarwanda anafanya biashara ya kukopesha pesa kwa mkulima ili aje amlipe mazao. Anachofanya ni anakuja...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

    Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao Hakika kwa imani na matendo yake nina imani mtoto atalelewa katika kumjua Mungu.
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa mfumo wa patriot, umeshusha chini mizinga ya hypersonic sita za Mrusi

    Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara.... Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed. The Kinzhal missiles were accompanied by a further six Kalibr cruise missiles and two drones, which the air force further stated had also been downed...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hongera dar-es-salaam young africans

    Twende. Mmeonyesha utofauti na ukomavu mkubwa,Kila jicho lililopata nafasi ya kutazama mechi hii ya Dar es salaam Young Africans na waarabu litakiri hili nalokwenda kulisema. Kiwango cha timu kupambana na kutafuta matokeo chanya uwanjani ni kikubwa sana. Utimamu wa miili na akili za wachezaji...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

    Muziki wa Bakhmut bado tena sana tu, kwanza Ukraine waanza kuzingira Mashariki...hehehe huku Putin akiingizwa mkenge na Wagner na kukimbilia kutoa hongera, hii aibu sana kwa supapawa Ukrainian forces have partly encircled the besieged eastern city of Bakhmut along the flanks and still maintain...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Bunge la wananchi hongera mmetisha!!

    Leo palikuwa na Bunge la wananchi lililoendeshwa na Mwenyekiti wa CDM Freeman Aikaeli Mbowe Kigoma na kikao kingine kiliendeshwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kukusanya kero za wananchi katika masuala ya kodi. Hadi tunakwenda mitamboni, kikao Cha wananchi pale Bandari salama kilikuwa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Mkuu kwa kuwasikiliza Wafayabiashara. Kero zao zitatuliwe isiwe zuga tu ya kuwatuliza

    Habari, Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo. Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
  20. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
Back
Top Bottom