Public Interest retirement case: Judge Mkwizu hongera kwa well-reasoned judgment, LAKINI!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,047
Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu)
Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management & Good Governance is 23 compelled to reconsider the applicant’s application for reinstatement in his position in accordance with the law.

Ilibidi kwenye reconsider, ilibidi utoe amri to REINSTATE the applicant to his former employment before being appointed to the position of Mkuu wa wilaya ( DC)
 

Attachments

  • Public Interest retirement.pdf
    308 KB · Views: 4
Mambo ya Pascal Mayalla siku hizi, sema ndugu mwandishi ungetuwekea utangulizi kwa uchache bila kulazima kufungua Doc..
Mkuu Replica , kwanza asante kuni tag.
Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu)
Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management & Good Governance is 23 compelled to reconsider the applicant’s application for reinstatement in his position in accordance with the law.

Ilibidi kwenye reconsider, ilibidi utoe amri to REINSTATE the applicant to his former employment before being appointed to the position of Mkuu wa wilaya ( DC)
Mkuu Retired, the trio judge is right to use reconsider instead of reinstate kwasababu: -
1. Kwanza kitendo cha kustaafishwa kwa manufaa ya umma bila kuambiwa sababu ni sehemu ya utekelezaji wa kanuni za Utumishi wa umma, mfanyakazi akistaafishwa kwa manufaa ya umma, maana yake kuna sababu, public service standing orders zinatamka kama sababu za kustaafishwa kwa manufaa ya umma zikitajwa zitakuwa na adverse effects on the endeavour of that person, then termination letter haiandikwi sababu!, hivyo kutokuandikwa sababu kwenye barua, hakumaanishi hakuna sababu sababu zipo ila hazikuandikwa!.

Sababu hizo zimetolewa na taarifa za wale jamaa zetu wa vetting, taarifa zao zote ni confidential, secrets na top secret, huwa haziandikwi!.
2. Pili mtumishi yoyote wa mahali popote, anapopata uteuzi wowote, utumishi wake wa awali unasitishwa na kwenda kutumikia utumishi mpya wa uteuzi, ule uteuzi ukiisha, mtumishi huyo anarejeshwa Utumishi kupangiwa kazi nyingine yoyote popote, na ile nafasi yake ya awali kama bado ipo then anarejeshwa, kama nafasi ile imeisha jazwa anapelekwa pengine popote na kupangiwa kazi nyingine yoyote ya hadhi na ujuzi wake.

Kitu ambacho mtumishi huyu atabakiwa nacho ni mshahara wake wa mwisho anaendelea nao, hivyo kama mwanzo alikuwa Mwalimu wa primary, akateuliwa kuwa DC, akitumbuliwa anarudia kushika chaki lakini mshahara ni wa DC, hivyo anaweza kulipwa mshahara mkubwa kuliko Mwalimu Mkuu!.

Mahakama imemrejesha kwenye Utumishi wa umma, the central establishment itampangia pa kumpeleka, kama pale PSPF pana nafasi, atarejeshwa, kama hapana, atapelekwa popote, hitaji la wanasheria serikalini bado ni kubwa!.

Wish him all the best, uamuzi huu ni uamuzi muhimu kuonyeshea hata rais sio kila kitu!. Je, Wajua Rais wa JMT Hayuko Juu ya Katiba? Anaweza Kulazimishwa Kumtengua Makonda, Akigoma, Bunge Linamtegua Urais?

Pia nimezungumzia Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

Pia Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!

Na Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!

P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom