hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi siku ya wafanyakazi kugeuzwa siku ya wadudu wasioumiza; hongera Rais kwa kutokushiriki kikombe hiki

    Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi. Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
  3. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Hongera sana DC wa Muheza, TRA wanajifanya miungu watu

    Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka CCM yaani DC wa Muheza. Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi. Amekemea uongozi wa TrRA wilaya Kwa jinsi wanayovyofanya maonevu na kuwadharau wateja na jeuri juu. Naomba tumsikilize na tujaribu kuwajadili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Kocha Benchikha kwa kuikimbia fedheha hii. Tatizo la Simba ni wachezaji wa kiwango cha chini

    Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule. Tatizo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hongera PPRA kwa mfumo wa NEST

    Huu mfumo ni kiboko na mzuri sana ni shirikishi, wa kisasa, usalama nk. Tangu nimeanza kuutumia napata vifaa na huduma kwa nusu ya bei ya awali. Huu mfumo ukitumia vizuri naamini kabisa matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%. PIA SOMA - PPRA pamoja kuweka mfumo sahihi, kagueni michakato ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Kamanda Muliro kwa kuwashikisha adabu Jacob na Malisa

    Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua ulimwengu huu ni nini, maana hakuna jambo lenye mwanzo lisilo na mwisho, yeye amechagua kuishi kwa...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hongera Kamanda Paul L Fulano kuimarisha chama Sengerema. 2025 lazima umg'oe Tabasamu na utajiri wake

  8. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunazidi kustarabika. Siku hizi ni ngumu sana kukuta watu wakipigana kama zamani, Tujipe hongera

    Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani. Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k. Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yanga inahitaji hongera..

    Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu. Pacome Aucho Yao yap Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa Chama Ngoma Mohamed...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri. Chumvi kapata chombo ya ukweli. --- NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Global Online TV kwa kwenda kimataifa katika Lugha ya Kiingereza

    19 March 2024 Dar es Salaam, Tanzania A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES. https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
  14. Tamu3

    JamiiForums Tanzania Hongera wanasiasa

    HONGERA WANASIASA 1. Waendapo majimboni, kuziomba hizo kura, Utadhani wanadini, wenye za upole sura, Magoti wapiga chini, mithili wataka pera, Hongera wanasiasa, kudanganya wananchi. 2. Hupita nyumba kwa nyumba, sera nyingi kimwageni, Hudai kura waomba, wawakilishe bungeni, Nguo zao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa. Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Jacob kwa kupambana kwa jasho na damu na kufanikiwa kujenga kasri lako; watu kama ninyi ni vigumu kununulika na watawala

    Kuna mwizi serikalini ameishia kumiliki mademu wengi kwa sababu anajua akijenga au kuwekeza ipo siku atakamatwa kwa wizi. Wapo viongozi wa kisiasa wamefanya nchi kama shamba na wanawekeza fedha nje ya nchi Kijana BoN Yai alipokoseshwa ubunge aliamua kwa dhati kuingia kwenye ufugaji. Amefanya...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  19. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera idara ya elimu sekondari halmashauri Bunda kwa mabadiliko ya mtihani wa mock kidato cha pili na kidato cha nne

    Hii sasa ndio mikakati madhubuti ya kuinua kiwango cha ufaulu katika halmashauri.Hili jambo lina mana gani kwa walimu na wanafunzi? Tofauti na ilivyozoeleka miaka ya nyuma ambapo mtihani wa ukamilifu (mock) ulikuwa unafanyika kati ya mwezi may au agosti ambapo miezi ya awali wanafunzi...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

    Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha. Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
Back
Top Bottom