hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi ni zana tulizotumia wana JF wa kale. Welcome to our museum

    Utu uzima dawa, ya kale ni dhahabu. Tena ya kale hayanuki. Twende sawa sasa Leso hii ilitumiwa na Maxence Melo enzi zile akiitwa computer Guru
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa school fees structure za hizi shule

    Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za: 1. BAOBAB 2. MARIAN 3. HAMES Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa mwaka please tujuzane. Au ushauri wowote kuhusu shule za Form 1
  4. JamiiForums Tanzania Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

    Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
  6. JamiiForums Tanzania Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi Honda mbona zina bei mkasi sana?

    Wanajamvi nimeshangaa kusikia kumiliki kifaa kipya kama hiki ni almost 10millions. Kina maajabu gani zaidi?
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM izisikie sauti hizi za ukombozi

    Hali si hali. Sauti za kudai haki na usawa hizi siyo za kupuuza tena: Kwa hakika tumedhamiria mno. "Hamna uchaguzi mkuu bila tume huru." Ikawaingie vyema akilini. Ipo tofauti kubwa baina ya kutoshiriki uchaguzi na uchaguzi kutokuwapo. Busara na ikawaingie ma CCM wahafidhina hawa kabla...
  11. JamiiForums Tanzania Couple hizi zitavunjika

    Hawa mastaa Hawaa zama hizi wamevurugwaa sana, ingawa wanaweza imba mashairi matamu juu ya mapenzi. Lakini, kwenye utendaji wako sifurii sana. Sio wasanii wa nje au wa bongoo wotee mahusiano yao yamekuwa ya mashaka sana. Hawa mastaa wafwatao wa bongo mahusiano yao yatavunjika na sababu za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kukopa kati ya Absa, NBC, NMB, na CRDB?

    ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa nimemaliza deni nadaiwa na bodi tu ya mikopo, nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu. Nipeni...
  13. JamiiForums Tanzania Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

    Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi 1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni, 2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi, 3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake, 4. Mchana ukimwambia alale...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ni ziara za Rais au ni kampeni za uchaguzi?

    Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi. Sababu zangu ni zifuatazo: 1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano...
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  17. JamiiForums Tanzania Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

    Nawasalimia kwa Jina la JMT, Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo. Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama. Kifupi ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi videvu vya siku hizi

    Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram.. Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga mwingi... Ushimen shemeji wewe nakukodia trekta pale Kubota waje wazikate🤣🤣
  19. W

    JamiiForums Tanzania Nashauri BASATA ipitie pia hizi movie zinazotafsiriwa na hawa maDJ wa mitaani, nyingine zinapotoshwa kimaudhui

    Nimetoka kuangalia movie inayoitwa 'Tears of the sun' ya Bruce Willis iliyotafsiriwa na huyu DJ Mac wa Acheche Production, hakika tafsiri yake ya udini ameitia chumvi mno. Yaani kila baada ya maneno matano sita, anataja ugomvi wa kidini kitu ambacho hata movie yenyewe haisemi hivyo; anaongopa...
  20. JamiiForums Tanzania CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…