Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
Screenshot_20230923-152108.png

Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu.

Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara.

Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90 (miezi 3) tu baadaye amepata sifa za kuweza kuteuliwa tena kuwa DC??

Kwa vyovyote vile huwezi kupata majibu ya swali hili. Badala yake ishie tuhitimishe tu kwa kusema uteuzi hufanywa kwa misingi ya uchawa na utenguzi hufanywa kwa majungu.

Sifa za uongozi hazizingatiwi ndiyo maana hatuoni mabadiliko ktk maendeleo zaidi ya kuona mabadiliko ya sura za viongozi.
 
View attachment 2759497

Mimi nayaona maendeleo labda wewe huoni

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Tusipochapana hii shida haitaisha
Kachapane na familia yako mimi napenda amani. Ukraine wote wale wenye umri kati ya miaka 18 na 60 walilazimika kubaki nchini mwao kupigania nchi yao wakati wake na watoto wao wanaruhusiwa kuvuka mpaka kwenda nchi jirani. Tujifunze kulinda amani yetu. Wewe nadhani hata vita na Idd Amin hukuishuhudia ndo maana unabwabwaja ovyo ovyo. Tuilinde amani yetu.

Miezi mitatu?Labda,alikuwa maternity leave!Siku "tisaini"!🤔🤔🤔🤔
 
Naunga mkono hoja ,majungu ndio imekuwa hadidu za rejea za wafanya vetting.
 
Kachapane na familia yako mimi napenda amani. Ukraine wote wale wenye umri kati ya miaka 18 na 60 walilazimika kubaki nchini mwao kupigania nchi yao wakati wake na watoto wao wanaruhusiwa kuvuka mpaka kwenda nchi jirani. Tujifunze kulinda amani yetu. Wewe nadhani hata vita na Idd Amin hukuishuhudia ndo maana unabwabwaja ovyo ovyo. Tuilinde amani yetu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya amani wewe?!! Hilo ndio limekuwa chaka la kuwatishia nyumbu kuwa amani wakati watawala wanaogelea kwenye asali!! Tanzania kuna utulivu tu hakuna Amani!! Mtu anashindia mlo mmoja amani ataitoa wapi?!!
 
View attachment 2759497

Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu.

Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara.

Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90 (miezi 3) tu baadaye amepata sifa za kuweza kuteuliwa tena kuwa DC??

Kwa vyovyote vile huwezi kupata majibu ya swali hili. Badala yake ishie tuhitimishe tu kwa kusema uteuzi hufanywa kwa misingi ya uchawa na utenguzi hufanywa kwa majungu.

Sifa za uongozi hazizingatiwi ndiyo maana hatuoni mabadiliko ktk maendeleo zaidi ya kuona mabadiliko ya sura za viongozi.
Rais ni mchafu ndio maana anazungukwa na chawa wengi mwilini kote
 
Back
Top Bottom