Jitahidi sana mwanao asiwe na tabia hizi?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi

1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni,

2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi,

3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake,

4. Mchana ukimwambia alale hataki,

5. Kukataa kuagizwa na mtu asiye mama au baba yake,

6. Kutukana watu,

7. Kusimama na kutazama watu wanaokula kitu na kuwataza akisubiria aitiwe

8. Ukimchapa na kumwambia anyamaze hanyamazi anaongeza kulia

9. Ukimtuma anaenda mazima,

10. Jitahidi mwanao asipende kushika vitu vya watu bila ya kupewa na mhusika hasa simu,

Haya ni baadhi tu yapo mengi ya kuzingatia katika malezi

Mtoto umleavyo ni mzigo wako na mateso yako mwenyewe ya baadae
 
_20230918_005603.JPG
 
Hapo kwenye kutumwa na Kila mtu hapana Kwa kweli. Sitaki mtu amtume mtoto wangu now a days Dunia imebadilika sana . Nimewahi kushuhudia mtoto akibebeshwa bhangi​
mpe sifa za mtu anayetakiwa amtii,atagomea baba zake wadogo wamwone kimeo.

sio unamkataza tu hatakuelewa,mwambie awe anamfahamu anayemtuma,asimtume mbali asipopafahamu,asimtume jambo asiloliweza,na asisite kusema kwamba baba yake ulimkataza kabisa hayo hapo.

watoto hufata kwa usahihi waliyoelekezwa kwa utulivu na kuambiwa madhara yake wakikosea.
 
Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi

1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni,

2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi,

3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake,

4. Mchana ukimwambia alale hataki,

5. Kukataa kuagizwa na mtu asiye mama au baba yake,

6. Kutukana watu,

7. Kusimama na kutazama watu wanaokula kitu na kuwataza akisubiria aitiwe

8. Ukimchapa na kumwambia anyamaze hanyamazi anaongeza kulia

9. Ukimtuma anaenda mazima,

10. Jitahidi mwanao asipende kushika vitu vya watu bila ya kupewa na mhusika hasa simu,

Haya ni baadhi tu yapo mengi ya kuzingatia katika malezi

Mtoto umleavyo ni mzigo wako na mateso yako mwenyewe ya baadae

1.sawa kabisa

2.huyu ni mzuri kuliko anayerudishia wenzie.

3.hii ni mbaya kabisa

4.hawa ni akina junior wanabishana na wazazi.

5.asiende kwa kila mtu watu washenzi siku hizi.

6.hii mbaya pia,au kujibu vibaya(kuropoka)

7.hii huchangiwa sana na ulafi.

8.hii ni tabia mbaya pia.

9.mbaya pia,

10.simu isiyo yako,anatakiwa asiishike kabisa,weww ndiye unajua kipi salama kwa mtoto humo ktk simu,wengine wamejaza mapilau humo na mapicha makubwa,wala hawana habari kwamba mwanao atashika afike huko.
 
Mtoto ukimchampa sio kazi yako kumapangia alie au asilie.

Utotoni mwangu sijawahi kupewa utaratibu wa kulala mchana lakini wenzangu walikuwa wanalala mchana hakuna kitu waliizd kwanzia ujanja mpaka akili shulen na hata wao walikuwa hawapendi kulala mchana.

Kwa kifupi kuna vitu umeandika ni nonsense.
 
Kuna tabia flani mwanao akiwa nazo unayepata shida ni wewe mzazi

1. Mtoto kulilia kitu cha mgeni au chakula ulichowatengea wageni,

2. Akiwa anacheza na wenzake akiguswa tu kidogo kilio na machozi,

3. Kususa kitu kisa kimekatwa au kimepunguzwa mbele ya macho yake,

4. Mchana ukimwambia alale hataki,

5. Kukataa kuagizwa na mtu asiye mama au baba yake,

6. Kutukana watu,

7. Kusimama na kutazama watu wanaokula kitu na kuwataza akisubiria aitiwe

8. Ukimchapa na kumwambia anyamaze hanyamazi anaongeza kulia

9. Ukimtuma anaenda mazima,

10. Jitahidi mwanao asipende kushika vitu vya watu bila ya kupewa na mhusika hasa simu,

Haya ni baadhi tu yapo mengi ya kuzingatia katika malezi

Mtoto umleavyo ni mzigo wako na mateso yako mwenyewe ya baadae
Ndio vinakuaga vichawa hivi na pro CCM kindakindaki
 
Back
Top Bottom