hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo hizi,we wacha tu

    Yaani ukiyasikiliza maneno ,aafu kuna kamtoto kadogo kanakuuliza maana yake nini ?
  2. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mwakarobo Hali yao ni mbaya mpaka Sasa, sababu hizi kuwaacha uchi kesho

    Wamezoea kupenyeza ushirikina katikakati ya uwanja na kufukia uchawi lakini safari hii wale wanaowatumiaga wanajiita "makomandoo" uchwara wamepigwa marufuku kuingia ndani ya uwanja wakijifanya wanaulinda wakati tiyali uwanja una walinzi wake!!! Kitendo Cha kuifanyia marekebisho pitch ya uwanja...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  5. Perfectz

    JamiiForums Tanzania Nazitafuta hizi album za kwanza kwanza za wasanii hawa

    Ni muziki wa kati ya miaka 2000 hadi 2010 hivi. Nazitafuta albums z wasanii hawa chini hasa albums zao z kwanza kabisa 1.RAY C 2.Q-CHIEF 3.BANANA ZORRO 4.LADY JAYDEE 5.MB DOGGY ILE YA MAPENZI KITU GANI NZIMA 6.MR NICE ZOTE HATA KAMA UNAZO ZINGINE ZA ZAMANI SIO MBAYA UKA SHARE PIA.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Iringa kwa teuzi hizi mmetisha. Hakika Mzee Luhanjo amewaacha pazuri!

    Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo (Iringa). Katibu Mkuu UVCCM Lulandala (ameoa mdogo wake na Daniel Chongolo) naye Iringa. Katibu Mkuu UWT Jokate Mwegelo Binti aliyekulia kwa shangazi yake Jenista Mhagama naye Iringa. Albert Chalamila (Iringa) mbali na Philip Mangula (mstaafu) naye Iringa (Sasa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

    Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki? sahih muslim 2921 Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying: You and the Jews would fight against one another until a...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Redio za zamani zina music mzuri na spika tulivu kuliko hizi za kisasa?

    Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya. Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi. Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems. Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia inakosa ladha. Hivi kiukweli mnajitapa kufaidi nini baada ya kile HAMAS walifanya, maana haya majibu...
  11. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Waliovyobipu walijisifia wanaijua kazi, hizi kelele za kuonewa wanavyopigiwa zinatoka wapi?

    Nashangaa kumekuwa na jitohada kubwa zinafanyika ionekane kwamba aliebipu aonekane ni muhanga wa kitendo alichofanya akijua kabisa ukibipu kinachofata huwa ni kupigiwa. Mwanzoni alivyobipu alijisifia ni shujaa na kutembea kifua mbele, simu ikaanza kupigwa ila aliebipu hakupokea zikawa ni missed...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Aliyesema ndoa ni utapeli ajengewe sanamu

    Habari za ijumaa wadau. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina class mate wangu tupo karibu sana kama ndugu kwenye urafiki wetu. Sasa anachangamoto ya kimahusiano na mke wake ameniomba ushauri. Niende moja Kwa moja kwenye mada class mate wangu huyo kutokana na ukaribu niliokuwa nao japo tupo...
  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

    Breaking bad 9.5 Game of thrones 9.4 Hizi ni kwa mujibu wa rate za IMDB je wew kama mdau ipi kwako ni kalii sana
  15. an alpha male

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya comments za members wa JF zilizonivutia sana

    Hi guys....yeah sawa na kichwa cha habari hapo juu, hizi hapa ni baadhi ya comments ambazo zilinivutia sana kutoka kwa members mbalimbali wa jf..... 1) Ukitaka kuiharibu jamii yoyote mwache mwanamke awe sehemu ya maamuzi ya mwisho. Mwanamke ni mshauri mzuri ila sio muamuzi mzuri.yeye anafanya...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wenye kauli hizi uwaepuke, zinaambukiza

    1: Mimi au sisi ni masikini Mtu anayekiri umasikini ataishia kuwa masikini tu na ukimuendekeza atakuambukiza. 2: Maisha ni magumu Haisaidii kitu kukiri ugumu wa maisha. Tumia Muda mwingi kutafuta suluhisho. Ukizungukwa na watu wa namna hii kila kitu na wewe utakiona ni kigumu. 3: Haiwezekan i...
  17. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Kunani hizi timu ndogo kuzikamia timu kubwa

    Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi...
  18. Faana

    JamiiForums Tanzania Wale wa hizi enzi tukutane hapa

    Naomba Mods msiufute uzi huu wala kuuhamishia mjuako, binafsi hizi picha zimevuta taswila ya mambo mengi akiwepo mzee pekee aliyekuwa na duka mtaani kwetu, ilikuwa ukienda kununua bidhaa anakuuliza chenji yako ni kiasi gani? Ukishindwa hesabu kama unasoma madarasa ya kuanzia Std 3 na kuendelea...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika. Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa...
  20. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
Back
Top Bottom