CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

Jemima Jackson

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
776
924
Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba.

CCM msifiri kwamba mtafanyikiwa kupinga katibampya kwakua hii katiba mbovu inawasaidia kutimiza malengo yenu.

Elimu mika mitatu ya katiba CCM mlikuwa wapi tangu mwaka 1977 kutoa hii elimu? Katiba mpya tutaidai kwanguvu zote kwakua Tanganyia sio mali ya CCM, mbona suala la bandari hatukuoewa elimu ya miaka mitatu kabla ya kumpa mwarabu?.
 
2025 tutachomana visu na moto majumbani, hatutakubali upuuzi wa 2020.
 
2025 tutachomana visu na moto majumbani, hatutakubali upuuzi wa 2020.
Hadi 2025 ccm watakuwa wameuza kila kitu,ref kauli zao za katiba ni kitabu hawa watu sio waoga wa mali za umma,inabidi tuchukue hatua mapema,wasipo dhibitiwa watauza kila kitu,saizi wameahamia kwenye ardhi wanataka kubadili vifungu vya sheria kwenye katiba ili wafanye udalali wa kuuza ardhi yetu kwa mwarabu.
 
Back
Top Bottom