hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini matusi yasitungiwe sheria kuondoa hizi tafsiri binafsi za wanasiasa zinazoendelea?

    Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo. Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
  2. data

    JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

    Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana. Yani ni mayai sijui mnajimwagia.. Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa? Hivi nyie wanawake mbona hamna...
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Bandari bora zaidi duniani

    Chapisho la hapa chini limeelezea bandari bora kabisa duniani zinazo fanya vizuri. Top 50 seaports 2022 Every year, a new ranking of top seaports is issued. Port throughput can be measured by cargo tonnage, container TEU, and the number of vessel calls categorized by commodities carried. TEU...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kila Fani na Cheo vinadharauliwa kwa sababu hii

    SIKU HIZI KILA FANI NA CHEO KINADHARAULIWA KWA SABABU HII Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli Siku hizi hata uwe Mfalme, sijui Waziri, sijui Hakimu, sijui Rais, sijui Kuhani, sijui Mwalimu, sijui Mwanasheria, sijui Mwanajeshi, sijui polisi, au hata uwe Nabii. Kote Huko Kwa kizazi hiki...
  5. gstar

    JamiiForums Tanzania Lini Waafrica tutaachana na tamaduni hizi?

    1. Kuvunja nazi njiapanda. 2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa. 3. Kuchukua watu misukule. 4. Kuwanga usiku. 5. Kufuga majini. 6. Kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji. 7. Kugeuza watoto wetu mandondocha ili tupate utajiri. 8. Mwanamke kumlisha...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ni kawaida “kuongea mwenyewe” .

    Sio tu maisha yamekuwa magumu bali pia technolojia imewezesha watu kuonekana kama vile wanaongea wenyewe. Ukiwa unacheka mwenyewe mbele ya screen ya smartphone yako hakuna atakayekushangaa! Mtu mmoja aliniona “naongea mwenyewe “ huku nafanya gestures zote baadaye akaniuliza vp bwana imekuwaje...
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  8. amadala

    JamiiForums Tanzania Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa pisi hizi kali, naenda Rwanda kuishabikia Yanga

    Nimejikuta tu nashawishika kwenda Rwanda kuishabikia Yanga itakapocheza na Al Merreikh katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kinachonivutia si mpira wa akina Maxi Nzengeli, hapana. Ni kwenda kuziona 'live' hizi pisi kali za PAUL KAGAME. Wangapi wanataka kuungana nami? Tujuane mapemaaa!
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndoa siku hizi zimekuwa chache kwa Vijana?

    Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana. Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto nje. Miaka ya babu zetu tulikuwa tunaona sana Kijana akienda kuchumbia mwali, huko wote wakiwa hawana...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nafaka hizi zinahitajika haraka

    Habari, Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini. Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20 Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20 Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya kozi hizi?

    "Bachelor of Arts Economics" na "Bachelor of Arts in Economis" zina tofauti gani?
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ratiba za CAF huwa zinapangwa kabla, hizi draw ni kiini macho tu

    Mimi huwa napenda kuobserve sana mambo, kwa hiyo mtanisamehe nikiwa naleta hoja ninazoitaga "hoja fukunyuku". Mechi ya kwanza lazima wangetaka iwepo Al Alhy au Wydad. Nimeedit huu uzi baada ya kurudi tena kuiangalia video ya draw baada tu ya kufungua huu uzi. Kuna vitu kadhaa nimeviona...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza. - "Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
  15. G

    JamiiForums Tanzania kawanini kazi hizi wanaume huwaza sana ngono, ni utamaduni wao au?

    Yani usipime, ngono ni kama ibada, sio wote lakini ni wengi Madereva wa malori, tipa, wachimbaji wa madini wajenzi wa nyumba
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni utamaduni wa hizi kazi wanaume kuwa malaya?

    Sio wote lakini wengi huwa na tabia ya kuhamasishana umalaya: Wajenzi wa nyumba Wachimbaji wa madini Wavuvi Mafundi gereji Mafundi simu
  17. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Unaelewa Nini kuhusu hizi point?

    1. Lack of knowledge to leaders. 2. Poor governance policy in economy 3. Poor management in the system 4. Corruption 5. Woman is a tool for pleasure 6. Lack of knowledge to the community 7. Poor contract agreement between investors and the government 8. Extreme corruption among the top...
  18. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Nomba uzoefu kwa wenye mzazi (wakike au kiume) mwenye watoto kutoka kwa wenzi zaidi ya wawili na wote wakiwa hai

    Habari jf. Naomba uzoefu wenu watu wazima mlio na watoto au watoto ambao umezaliwa kwenye familia hii. Ni zile familia ambazo Baba yako kazaa na wanawake hata 2 au zaidi ya 2 na wanawake aliozaa nao wapo hai pamoja na watoto pia. Hivi swala kama ilo kwako kama mtoto unaonaje kwenye familia hio...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi hizi kweli wana-CCM wanazitekeleza?

    Hizi ni ahadi 10 za wana-CCM, ipi wanayoitekeleza kwa vitendo zaidi? Au ni kinyume chake? 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. 4. Rushwa ni adui wa haki...
  20. Rose Bud

    JamiiForums Tanzania Je, hizi zinaweza kuwa ni sababu za ongezeko la UTI?

    Kwa miaka ya hivi karibuni watu wanaokuwa diagnosed na UTI imeongezeka maradufu. Katika kutafuta sababu nimekuja na sababu tatu ambazo zinazoweza kuchangia. Wakuu, je wewe unadhani ipi ni sababu kubwa kwa ongeze la ugonjwa huu kati ya hizi A: Ongezeko la mwanawake wa sikuhizi kushindwa...
Back
Top Bottom