hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

    Wana JF na Watanzania, Kuna kundi limejitanabaisha humu kama wao ndio waamuzi wakuu wa hatma ya nchi. Huko nyuma mwandishi mmoja wa kundi hilo amekuwa akiandika na kuyaita maandishi yake kama "maono", badae akaanza kusema anawasilisha yaliyopitishwa "mezani", badae alivyopata kuaminika hasa...
  2. JamiiForums Tanzania Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

    Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili; 1. Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva. 2. Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe. Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza mafuta / (petrol, dizeli) ni akina nani nchi hii?

    Wana JF, Wananchi.. Hili ni swali... Hebu tusaidiane hapa kujua kiunaga ubaga, hawa wauza mafuta Tanzania ni akina nani.. Yani wale wa jumla, na wa rejareja (hizi petrol stations) Nalenga hasa kupata wenye hisa/ au wamiliki, na marafiki zao... Naomba tusaidiane tujue kwa sababu, si kosa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mali za umma zinachezewa namna hii?

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la reli (TRC) alisema moja kati ya changamoto za shirika ni watu kuchukua maeneo ya shirika. Mfano: Akasema kuna eneo la reli ambapo reli ilitakiwa kupita kutoka Mwenge via Mbezi beach hadi kiwanda cha cement Wazo hill. Lakini hilo eneo sasa hivi limejaa maghorofa...
  5. JamiiForums Tanzania Kova ndiyo kachoka namna hii?

    Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
  6. S

    JamiiForums Tanzania "Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

    Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?" Je, ni a)- kupiga msosi mzuri? b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri? c)- kutoka out na marafiki? d)- kupata mpenzi mpya au kufanya ngono sana? Au kitu gani?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Navuna matikiti hivi karibuni, dalali anayeweza kunipa connection anitafute

    Habari za wakati huu, Nategemea kuvuna matikiti yangu Jumamosi hii tarehe 7, naomba kama kuna muhitaji / Dalali au anayeweza kunipa connection ya kuuza naomba saana msaada wenu. Nimelima mkulanga, nategemea kuvuna 3.5tons na zaidi Mawasiliano 0658 644485
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

    Nawatakia sikukuu njema Jf Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke. Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho...
  9. JamiiForums Tanzania CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

    Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
  11. JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

    Naombeni tafsiri ya Ndoto hii. somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics. "Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10. Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa.. hadi ndoto kuisha.
  13. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Leo tarehe 1/5/2022 Rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na Rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma. Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazishi ya Rais Kibaki: Wabobezi wa protocols, hii imekaaje?

    Wakuu naangalia mazishi ya mzee Kibaki kule Othaya. . Kuna jambo sijaelewa kwenye protocol naona ameanza kuingia Ruto then Raila Odinga then Rais Uhuru Kenyatta. . Hii imekaaje kwa nyie wabobezi wa Protocol?
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  17. JamiiForums Tanzania Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

    Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee. Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
  18. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ipatikane ndani ya miezi sita ili kudhibiti hii mikakati ya ufisadi unaoendelea. Jitihada za nguvu ya kila namna zifanyike

    Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao familia zao na watoto wao ndio wanajua maisha bora. Tupate katiba mpya ambayo itamfuta kazi rais...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kwani ninyi mnawafanyaga nini wanawake wa aina hii?

    Habari wandugu, Nimekutana na wanawake kadhaaa lakini sijawah kutana na mwanamke kama huyu ukweli ananipa changamoto sana. Nimwanamke ambae nimekutana nae somewhere tukabadilishana namba baada ya kumuelewa kiaina. Nikaanza kuanzisha ukaribu nae kwa kuwasiliana nae mara kwa mara na hapo ndo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…