Angalia Picha Hii Kwa Makini Kisha Elezea kama ni Murder au Suicide

patience96

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
1,353
568
ok.png
 
Murder kwa sababu
A) hiyo bastola kashikishwa na muuaji kwa sababu ni vigumu mtu aliyeanguka na aliyekufa kiendelea kushikilia silaha namna ile.

B) ni ngumu mtu aliyekufa kuendelea kushikilia sigara mkononi mwake hivyo kashikishwa baada ya kuuliwa.


C) alipigwa risasi iliyopiga kichwani na kutoboa kichwa hadi kusababisha damu kurukia ukutani.
 
murder hio,
-
-kwa position ya damu pale dirishani inamaana huyu mtu alipigwa/kujipiga risasi akiwa karibu kabisa na dirisha hivyo damu kurukia pale dirishani sasa imekuwaje aanguke miguu iwe mbali huku kichwa kiwe karibu na dirisha? ilitakiwa miguu iwe karibu na dirisha ambako ndio alisimama then kichwa kielekee kwingine au angedondoka kwa kukaa karibu na dirisha, mwili jinsi ulivyokaa hauendani na na damu ilipo explanation pekee ni kuwa huu mwili umesetiwa ukae jinsi ulivyokaa
-hio shagalabagala ya vitu inaonekana kulikua na struggle kwanza kabla ya tukio kutokea so ni wazi kulikua na mtu mwngine hilo eneo
-hio bastola na sigara alishikishwa ni ngumu mtu afariki akiwa ameshika vitu vile halafu vikabaki vimeshikwa vile, vidole vingekuwa vimefunguka kdg na hvyo vitu kudndoka au vingekuwa vimeshikwa, ila sio tight hvyo, madetective wa jf kwe ubora wetu
 
MURDER.
1. Mwanamke ni left handed based on the position of cabinet handles and objects in her desk mfano peni, coca, sigara n.k vimewekwa kushoto for easy reach. Ila bunduki kashika mkono wa kulia kuthibitisha kuwa kashikishwa. it's unlogical to kill yourself with your weaker arm.

2. Mwagiko wa damu (blood spill pattern) haushabihiani na ule wa suicide. Huu unaonekana more centred and controlled. a suicide bullet kwa alivyoshika bunduki ingekuwa imemwagika upande wa kulia wa pikcha na matone yakiwepo kiasi kushoto maana angekuwa kaweka bastola kwenye temple ya kichwa chake na sio kwenye forehead.
 
Itabidi tumuite Sherlock Holmes......
Achunguze ballistics kwa kuangalia bullet trajectory kujua angle of elevation na usambaaji wa unga wa risasi kujua kama mlipuko wa bunduki ulikuwa karibu au mbali....🤣🤣🤣
 
Forensic physics inaonesha ni murder; damu pale ukutani inaashiria kapigwa na damu ikaruka.
Pia kiti kilichoanguka kinaashiria purukushani au mpambano dhidi ya wauaji. Bastola mkononi pia ina jambo lake
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom