hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

    Ni habari picha
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kufuta NGO 29 baada ya kuomba kwa hiari

    Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29 kuanzia Aprili 22, 2022 kama ifuatavyo; Source: Malunde
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

    Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Shida ya wanaume humu ni hii

    Mtu anakaa single kisa avatar yake. Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria. Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

    Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu. Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa...
  6. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  7. kagombe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza hii simu

    Nauza simu bei poa Nimu ni Nokia original Model 1280 Nataka tsh 25000/= 0679 100 690
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hii video kuhusu Yesu Kristo ilikusudia nini hasa?

    Waliorekodi hii video walikusudia nini hasa kwamba Yesu kristo alipiga watu mateke.
  9. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Malumalu aina hii nitaipata wapi Kwa maeneo DSM?

  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni stress, kiburi au vichwa vigumu, kwanini watanzania wengi hupuuza amri kama "usikojoe hapa, usipite njia hii, abiria chunga mzigo wako

    Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

    Wakuu nimechoka kupanga nataka nijenge ghetto la haraka nianzie maisha. Naombeni msaada wa tathmini ya gharama. Nimechora kwa mkono tu maana sijapata uwwzo wa kumtafuta architecture. Ahsanteni
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA! Anaandika, Robert Heriel. Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake. Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Liverpool 4-0 Man United, Gary Neville asema "Sijawahi kuiona Man United mbovu kama hii ya sasa"

    Mabao ya Luis Diaz katika dakika ya 5, Mohamed Salah (22 na 86) na Sadio Mane (68) yameipa ushindi #Liverpool dhidi ya Manchester United katika Premier League kwenye Uwanja wa Anfield. Nahodha wa zamani wa United, Gary Neville wakati mchezo ukiendelea alinukuliwa akisema: “Nimeiangalia United...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania " Soda Sh 1000 nifungue au nisifungue?" Hii kauli sio nzuri.

    Hata kama Soda zimepanda bei hii kauli sio nzuri kabisa kwa wateja. Yaani unajibiwa kibabe kwamba kama hutaki kunywa kula kona . Dah...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unataka kuoa? Usitapeliwe, hii ndio kanuni rasmi ya kukokotoa mahari unayotakiwa kulipa

  17. S

    JamiiForums Tanzania Kila Rais angekopa kama Hayati Magufuli, leo hii tungekuwa tunakopesheka na Magufuli angekopa wapi?

    Taarifa tunazosima zinaonyesha ndani ya miaka mitano tu Magufuli amekopa karibu sawa na mikopo aliyochukua Kikwete kwa miaka yote Kumi aliyokuwa madarakani. Ukiacha Kikwete, kuna Mkapa, Mwinyi na Nyerere na hawa nao walikopa na kuna wakati walifanya juhudi tusamehewe madeni Sasa najiuliza...
  18. mangada

    JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  19. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii kwa mwenye kufahamu

    Wakuu, nimeshtuka kutoka usingizini takribani zaidi ya nusu saa iliyopita nikitafakari juu ya ndoto hii niliyoiota. Nimeota nipo mazingira yangu ya kazi ( inaniunganisha mimi na wateja) kuna kitu mteja alijieleza lakini Meneja wangu hakumuelewa ila mimi nilikua nimemuelewa nikaamuru ahudumiwe...
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Hii ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania, niwakati sasa watanzania kufanya counter attack

    Mimi sijawahi fika Zanzibar ila kwa suala lilipofikia hawa wanaijeria hii sasa sio suala la Werere beach bali ni vita ya kiuchumi kwa Tanzania, Cyber war ni vita kama vita nyingine, niwakati sasa watanzania kwa umoja wetu kuwashambulia huko Twitter hawa wanaijeria ambao wengi wao ni wasanii...
Back
Top Bottom