hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karma can skip you and hit your kids. Viongozi wa serikali wenye imani hii inawahusu

    Ofisi ya Tais Tamisemi ina viongozi kama ngozi, kazi yao kulinda maslah ya wajuu yao. Ngozi kazi yake kubwa ni kukinga, hicho ndicho wanachokifanya watu wa Tamisemi. Ukiangalia idara za afya , elimu, ujenzi nk kazi yao ni kuweka limit nothing more than just keeping and helping leaders...
  2. JamiiForums Tanzania Ona jinsi Israel itakavyoshindwa vita safari hii ambako wengi hawajaona

    Wale wasio na uelewa mpana wa mwenendo wa vita wanapima mafanikio ya vita kwa kuwa na ndege nyingi za kijeshi na vifaru na kupiga mabomu mazito kwa mfululizo. Wanapima pia kwa vikosi vya jeshi fulani kuweza kuingia mpaka ndani ya ngome ya mpinzani kwa muda. Vitu vinavyotakiwa kupimwa ni zaidi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hii kauli imepita muda wake ibadilishwe

    Hii kauli kwa sasa sikubaliani nayo aisee ukitaka kwenda kombo fuata hii kauli "KWENYE KILA MAFANIKIO YA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" ila kwa mimi naamini kwanyakati hizi "KWENYE KILA ANGUKO LA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" N:B..Either atakuwa mweupe or Anamkalio makubwa
  4. JamiiForums Tanzania HABARI HII: Taarifa za Mabadilishano ya Wafungwa wa Hamas ya Israel na Marekani

    Wanaukumbi. It is important to note that there is an alleged Israeli media blackout surrounding the exact details of the exchange. However, some sources are publishing indications that suggest there is an alignment on a potential prisoner exchange, and it is getting closer: - Netanyahu's...
  5. JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata kushusha imani yako kwa Mungu. Na hii imepelekea watu kucheza miguu miwili. Mmoja kwa Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Hakika kauli hii ilinishangaza

    Tarehe 08 Desemba 2008 siku ya Jumatatu majira ya saa 4 usiku nilifiwa na shemeji yangu mdogo wake kabisa na wife. Shemeji yangu huyo aliugua kwa zaidi ya wiki mbili na siku alofariki ndo siku aliruhusiwa toka hospitali moja kubwa ya private akiwa na nafuu kabisa. Hata nami niliporudi job majira...
  7. JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni mwaka 2015 lakini mpaka leo serikali imeshindwa kutatua hii kero

    Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko 2015
  11. JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, CHADEMA hatuna viongozi tuna wapenda ndululu tu

  12. JamiiForums Tanzania Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

    Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja. Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida...
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

    Wanabodi Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli type (populist na populism) kila anapopita, tatizo lake ni moja tuu, anaipiga hii ngoma kwa nguvu...
  14. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

  16. JamiiForums Tanzania Natatua vipi hii changamoto

    Kati ya kiungio cha bati na bati kuna nafasi (bati hazijashikana) kama inavyoonekana japo haivuji. Mwenye uwezo wa kusolvu hilo changamoto bila kutoa bati anipm. Nipo Mwanza
  17. JamiiForums Tanzania Je hii ni sawa?

    Wakuu inakuaje, Tano ni moja au moja ni Tano? Anyway, Kuna Dogo mmoja ni msela wangu sana mambo mengi sana tunashirikiana, Sasa bhana Dogo alkua mkoa X ambapo ndio kwao kabisa , Dogo akanambia oya nakuja huku dar, nataka nije nikajifunze kitu flani kwenye chuo flani cha hayo mambo flani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii ngoma ya msanii Diamond iitwayo Pound and Dollars ni rasmi ameanza kurudi kwenye Muziki mzuri

    Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

    Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa. Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

    Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…