Ari Shebet: Hakuna ladha ya kuishi katika Nchi hii ya Israel

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,335
5,934
Screenshot_20231110-214614_Instagram.jpg
3232424768283167784.jpg.png

Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz

Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina

Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu wayafanyayo mazayuni kuhusu ushoga mmeuondoa, haya futeni na huu sasa!

Screenshot_20231110-221155_Instagram.jpg

3232962517750950258.jpg.png
 
Jikite kwenye mada ewe myahudi mweusi, hapa nilipo naumia sana kuona ndugu zangu waislamu wakiteseka, wakiuawa bila hatia yoyote dhidi ya mazayuni waliolaaniwa, halafu ninyi wayahudi weusi msio na utu wala huruma mkichekelea

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
 
Mbona hajasema kuama na kuamia Saudi Arabia, Afaghanstan, Iran, Iraq, au nchi za kiarabu... Kataja Berlin, Paris na San Fransisco ambayo kiasili ni maeneo yenye wakristo wengi...

Ukweli ni kwamba Muislamu hajioni salama mbele ya muislamu mwenzake, bali ujiona salama katikati ya wakristo
 
View attachment 2809930View attachment 2809931

Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz

Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina

Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu wayafanyayo mazayuni kuhusu ushoga mmeuondoa, haya futeni na huu sasa!

View attachment 2809951
View attachment 2809947
kuna ndoto zingine ni za mchana, ukifanya mchezo unaweza kujikuta umekikojolea hivihivi, kwasababu ni ndoto za mchana kabisa. wayahudi duniani wapo 16,000,000 kila siku wote walioko nje ya israel wanapambana siku moja waje kuishi israel, halafu mtu anasema nini? hiyo ipo moyoni, hao wanaotaka kukimbia ni mapandikizi tu sio wayahudi halisi.
 
Rudia kusoma caption tena, huyo ni mwandishi wa gazeti la Haaretz, na sio mwarabu wala muislamu, Ni kafiri huyo wa israel
 
hapa nilipo naumia sana kuona ndugu zangu waislamu wakiteseka, wakiuawa bila hatia yoyote dhidi ya mazayuni
Muarabu mweusi Unaumia?!!!
Si ukajitoe mhanga, ujilipue huko ijulikane moja mkuu?
Kwani unateseka ukiwa wapi, Buza?

Wacha magaidi wa Hamas wanyooshwe bhana, waliyataka wenyewe.
1699645597665.png
 
kuna ndoto zingine ni za mchana, ukifanya mchezo unaweza kujikuta umekikojolea hivihivi, kwasababu ni ndoto za mchana kabisa. wayahudi duniani wapo 16,000,000 kila siku wote walioko nje ya israel wanapambana siku moja waje kuishi israel, halafu mtu anasema nini? hiyo ipo moyoni, hao wanaotaka kukimbia ni mapandikizi tu sio wayahudi halisi.

Nyie lazima mubishe tu, basi sawa sio wayahudi halisi, umeridhika sio?
 
maisha yamempiga tu huyo mwache aende, au si ukute ametumwa na serikali afanye hivyo kuna kitu wanataka kukitengeneza, wajinga ndio waliwao. kuna maandamano ulaya utaona hadi wayahudi wazee wanaandamana na kuna mtu anaamini wanasapoti palestina. hajui kuwa wakirudi jioni wanaendelea kuchangisha michango ili kujenga nyumba zaidi westbank? ambako hadi sasa wamefikia wayahudi wakazi 600,000. juzi walionyesha kule westbank wapalestina kibao hawana kazi, walikuwa vibarua kwenye mashamba na ujenzi wa makazi mapya ya waisrael. kumbe hata makazi mapya kwenye maeneo waisrael wanapanua makazi, vibarua ni wapalestina walewale. niliona wengi wanalalamika kuwa wamefukuzwa kazi baada ya vita kuanza.
 
Unaumia?!!!
Si ukajitoe mhanga, ujilipue huko ijulikane moja mkuu?
Kwani unateseka ukiwa wapi, Buza?

Wacha magaidi wa Hamas wanyooshwe, waliyataka wenyewe

Nani kakuambia hamas wananyooshwa? Una ushahidi wowote juu ya hilo? Hujaona magaidi ya kizayuni wanakufa?

Kwa taarifa yako hamas sio magaidi, ni freedom fighters. Sasa endelea kukariri hamas ni magaidi.....pole sana ewe myahudi mweusi
 
kuna ndoto zingine ni za mchana, ukifanya mchezo unaweza kujikuta umekikojolea hivihivi, kwasababu ni ndoto za mchana kabisa. wayahudi duniani wapo 16,000,000 kila siku wote walioko nje ya israel wanapambana siku moja waje kuishi israel, halafu mtu anasema nini? hiyo ipo moyoni, hao wanaotaka kukimbia ni mapandikizi tu sio wayahudi halisi.
Google Ari shebet,utakuta makala zake,ni myahudi,na Henry Kissinger 2012 alitabiri hakutakua na Israel ndani ya miaka 10,makala zipo pia mtandaoni, Kissinger ni myahudi pia
 
Jikite kwenye mada ewe myahudi mweusi, hapa nilipo naumia sana kuona ndugu zangu waislamu wakiteseka, wakiuawa bila hatia yoyote dhidi ya mazayuni waliolaaniwa, halafu ninyi wayahudi weusi msio na utu wala huruma mkichekelea
Allah na chuki zake zidi ya wakristo na wayahudi mpaka aliomba kwa Mungu tuangamizwe lakini wapi, hakujibiwa

Israeli inatakiwa iendeleze moto iue mpaka mayai ya magaidi ata kama bado yapo tumboni flekelea mbali
 
Google Ari shebet,utakuta makala zake,ni myahudi,na Henry Kissinger 2012 alitabiri hakutakua na Israel ndani ya miaka 10,makala zipo pia mtandaoni, Kissinger ni myahudi pia
hao ni wayahudi waliochanganyikiwa ndugu wala usiwafuate. hata hivyo, hivi vifo viwe vya wapalestina au waisrael, ni kitu kibaya, wamalize vita maisha yaendelee. hamas wasitishe kurusha roketi na israel wasitishe mapigano.
 
View attachment 2809930View attachment 2809931

Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz

Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina

Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu wayafanyayo mazayuni kuhusu ushoga mmeuondoa, haya futeni na huu sasa!

View attachment 2809951
View attachment 2809947
Ungalia umepumua kwa kusikia hii habali, kwenye msafara wa kenge na mamba wapo, Wana wa Israel walipotoka Misri Kuna mamluki waliwafuata wakaandamana nao, hao ndo walikuwa wanawakatisha Tamaa Wana wa Israel, waisrael halisi wako tayali kufaa wakipambana kwa ajili ya nchi Yao, ndo maana jeshi la Israel limejaa lonely soldiers kutoka nchi mbalimbali duniani ni kitu Gani keep nawasukuma kujaa Israel na kujiunga jeshini? Ni Jews nationalism hiki kitu Kiko moyoni
 
View attachment 2809930View attachment 2809931

Ni mwandishi wa gazeti la Haaretz

Allah ajaalie ushindi kwa Ndugu zetu wapalestina

Moderator ,nawaombeni sana, msifute au kuhamisha nyuzi zangu, mmezidi sasa! Kila nikianzisha thread za maovu/uhalifu wa MAZAYUNI mnakimbilia kuuondoa au kuupeleka kwingine, leo nimeleta taarifa ya maovu wayafanyayo mazayuni kuhusu ushoga mmeuondoa, haya futeni na huu sasa!

View attachment 2809951
View attachment 2809947
Warudi utumwani Misri
 
ahamie gaza kwenye asalii
 
Back
Top Bottom