hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Heci

    JamiiForums Tanzania Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

    Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii.. Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa. Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikataba ya LNG and hii ya DP World ni ya siri?

    Serikali inasema kwasasa wanamalizia mazungumzo ya mkataba wa LNG wakati huo huo DP World wamesaini mikataba mingine. Sasa ni kwanini hiyo mikataba haiendi bungeni na kuwekwa wazi? Juzi tu hapa tulikuwa tunawaambia wabunge wawe makini sasa mnaona hata wenyewe hawajaona mikataba zaidi ya ule...
  5. Nsennah

    JamiiForums Tanzania "Samia Bridge" Ndoto inayoishi na itakayokamilishwa na awamu hii ya 6.

    Ndoto iliyopitishwa!! Usiku ule nikiwa ndotoni ghafla nikaona madaraja matatu mazuri ambayo ni msaada mkubwa kwa wananchi wote; Nyerere bridge, Busisi bridge na Samia Bridge!! Daraja moja limeanzishwa na kujengwa na Mama mzaliwa wa visiwa vya Zanzibar hadi kukamilika hivyo kwa kuheshimu na...
  6. emmarki

    JamiiForums Tanzania Hii taarifa ya TAHLISO ina ukweli?

    KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO 06/11/2023 MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS ) 1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini nimeandikiwa kujiandaa na zoezi la kukata rufaa, lakini bado Batches za continuing students...
  7. Daydream

    JamiiForums Tanzania Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

    Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba. Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha Sijui kama Makolo...
  8. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Naomba maana ya hii qualification

    Education of the fourth form and continuing in other fields including the field of mechanical spare parts manufacturing, automotive engineering, domestic and industrial electricity, IT, automotive electricity and solar electricity;
  9. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Hii hackerthon sijaielewa

    Wengi wa wanaoshiriki ni wahindi nilijoin kwa kuwa tulitakiwa kuunda vikundi vya watu watano baada ya kuanza hatua za kwanza baadae tuliungwa kwenye group la what'sapp wote lakini huko walikuja na kusema watu lazima waanze wawili wakati kwenye tangazo watu walitakiwa kuanzia mmoja hadi watano...
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

    Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  13. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni aibu kwa Israel

    Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni kutaka kuwachukua Mateka wao. Israel ni nchi inayoelezwa kuwa inaongoza Ulimwenguni kwa kuwa na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

    Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana. Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya. Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
  15. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu Yanga hii haina namba 9 asilia

    Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo. Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE 🤣🤣 Mgeni rasmi na kocha...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT. Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

    Sababu kubwa. Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa. Uwanja hautaweza kuchezeka mechi. Tujiandae kwa hilo
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia! Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo! Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

    Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda. Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda. Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
Back
Top Bottom