hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Immigration JNIA (Dar) Epukeni aibu hii

    1. Arrival lounge inajaa kupitiliza, 2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi, 3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege. 4. Air Conditioner hazifanyi kazi. 6. Vyoo navyo mtihani.
  2. JamiiForums Tanzania Biashara hii imefika mbali?

    Unabomoa vibanda wanahamia mtandaoni. Ni kuachana nao, hawawezekaniki.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

    Kisha tuiachie X iweke tafsiri, kuliko kutumia lugha ya malkia halafu tunaonekana wa hovyo tu.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  5. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Changamoto kama hii?

    Salamu kwa wote, Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo, Twende kwenye hoja ya msingi, Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama, Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
  6. JamiiForums Tanzania Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
  7. JamiiForums Tanzania Je Biashara Yako Ilifikia Malengo 2023? Jipime kwa hii Sheet BURE

    Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi). Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online)...
  8. JamiiForums Tanzania Kiingereza kimeingia Uswahlini

  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii style mpya ya kunyoa ya Ruto imekaaje?

    Mzuka wanajamvi. Itakuwa Raila anamroga jinsi alivyomroga Uhuru. Hii haircut hapana asee.
  10. JamiiForums Tanzania TARURA hii imekula kwenu, kuendekeza ujenzi usiozingatia viwango

    TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita. TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini. Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Ndo sababu Ziwa Natron lilioko Kaskazini mwa Tanzania kuonekana na "Rangi na Rangi ya Damu" (Nyekundu) Badala ya kuwa na maji meupe au blue

    Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
  12. JamiiForums Tanzania Ewe mwenyezi Mungu hii mvua sasa imetuchosha.

    Mungu sikia kilio chetu hii mvua sasa imezidi tunaomba uiondoe KWA amri nguvu na uwezo wako. Amen
  13. JamiiForums Tanzania Propaganda iliyoanzishwa ya kuchafua wanaume wenye maumbile madogo inatafuna sana vijana kisaikolojia, vijana wengi wahusika wanakosa confidence

    Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo hata akiwa na size ndogo anaweza kuwa player hatari sana bila aibu yoyote, Ghafla likazuka hili...
  14. JamiiForums Tanzania Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

    Ninaangalia mechi ya Simba vs Kagera sugar. Azam wanatumia Camera moja ambayo inaonesha theluthi ya uwanja tu. Camera imeweka katika low angle ambapo ni kama Camera imewekwa kwenye kigoda Cha mama ntilie. Camera hiyo moja inatembezwa Kila engo kama tiara. Kiukweli haivutii kutazama. Ni kama...
  15. JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea nini?

    Hii picha inaongea mambo mengi sana. Wazungu wanasema a picture speaks louder than words. Nikiiona hii picha nahudhunika mno, hasa kwa ajili ya vijana wa kitanzania wanaohitimu vyuoni makumi kwa maelfu kila mwaka. Maisha ya kiafrika ni magumu sana. Unaweza ukute hata elimu yenyewe aliyoipata...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi naenda kuacha ajira, Wasomi tumegeuka kituko kwa uoga wa kutegemea matone ya mshahara huku wageni na std 7 wakitajirika kwa rasilimali zilizojaa

    Biashara nilizonazo nilizianza huku nipo kazini, hadi hapa nilipo biashara zinanilipa lakini haikuwa rahisi, uzoefu nimeupata kwa maumivu kadhaa ikiwemo kuambulia maumivu ya biashara kufilisika, kupigwa na vijana wa dukani, kupigwa faini na tra kwa kuchukulia poa mambo ya kodi, n.k. kupitia haya...
  17. JamiiForums Tanzania Messi alimdhalilisha sana Ronaldo, ona hii Clip mpaka huruma 😄

    458KB Messi kawadhalilisha sana wachezaji 😄😄
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

    Habari ya muda huu, Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki. Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
  19. JamiiForums Tanzania Je, Hamas wanasaidiwa katika hii vita dhidi ya Israel?

    Wakuu naamini muko buheri wa afya, pole kwa ambao wanapitia changamoto ya afya na Mungu awaponye. Naombeni wanajukwaa munijibu swali langu kuhusu vita kati ya Hamas na jeshi la Serikali ya Israel. Nitashukuru iwapo jibu/majibu yataepuka yale maneno na misamiati ya "Wazee wa Makobazi"...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM kinaanzisha miradi mingi mitaani mwaka mmoja kabla ya uchaguzi? Je, hii sio mass bribe?

    Ukijaribu kuangalia kwa makini utaona hata hapo mtaani kwenu kuna kamradi aidha kataanza mwaka huu au mwakani YANI mwaka mmoja kabla ya uchaguzi wa serikali kuu na serikali za mitaa. Miradi hii yaweza kuwa zahanati shule barabara maji umeme nk. Je, hii sio rushwa? @LukasMwashambwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…