King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Amini nawaambieni!
Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu!
Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie"
Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
Hello,
Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.
Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi...
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!
#Hii Imeenda
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao?
Mnakwama wapi?
**Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.
Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS
Nawauliza viongozi wa...
Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana.
Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki ng'oo. Hawezi kujieleza kiingereza anatetema tu msomi huyu wa chuo..
Lakini msahiliwa huyuhuyu...
Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu
Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu
Ukipita comments kwenye page zote za Simba...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Damas Ndumbaro amefanya uteuzi wa Kamati itayohusika kuratibu Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa mwaka 2023-2024.
Baraza la Sanaa la Taifa BASATA kupitia Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Kedmon Mapana limetoa baraka zake leo kwa kamati hiyo mpya ambayo...
Pombe pombe pombe.
Mimi sio mnywaji sana. Ila kuna utumwa wa pombe siupendi. Kila bada ya siku 3 nahitaji bia.
Inakuwa ngumu sana kuimaliza wiki
https://youtu.be/W46HKkXzX0A?si=iaS7E3n394FnuaFg
Tatizo ni nini?
Sasa hivi kumekuwa na hofu kwa baadhi ya watu wanaokula samaki Sato na Sangara kutoka ziwa Victoria baada ya riport kuwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa wanapata kansa na hili sio tu Tanzania imegundulika hata kwa upande wa wenzetu Uganda na Kenya kwenye jamii zinazozunguka Ziwa...
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN.
Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
Mimi ni kijana mwenye mtoto wa miaka 5. Nina ukaribu sana na watoto yaani kwa kifupi mimi hupenda sana michezo na kuhakikisha watoto wanapata furaha na kucheka.
Uzuri wangu mtoto akikosea huwa sipendi masihara nae, anakula mboko za kutosha. Najiepusha nisimpige kwa hasira sana kwa mikono au...
Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza:
Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako.
Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo.
Vitabu hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.