Soma judgement ya CHADEMA hapa
===========
At the High Court of Tanzania, the respondents herein instituted a petition against the applicants both jointly and severally for the following substantive reliefs: One, declaration that the applicants are in breach of section 6A (1), (2) and (5) of the Politicali
Kwanza, tamko kwamba mgawanyo wa fedha, mali na rasilimali za waombaji kwa ajili ya shughuli za kisiasa na kiutawala kati ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar ni kinyume cha sheria, na hivyo ni batili.
Pili, amri inayowaelekeza waombaji kuzingatia kifungu cha 6A(1), (2) na (5) cha Sheria ya Vyama vya Siasa.
Tatu, amri ya kusitisha kwa muda shughuli zote za kisiasa hadi pale watakapotekeleza amri za mahakama.
Nne, amri ya zuio la kudumu (perpetual injunction) dhidi ya matumizi ya mali, fedha na rasilimali za chama hadi walalamikiwa watakapozingatia sheria husika.
Sababu za madai ya walalamikaji zimeainishwa katika aya ya 4 ya hati ya madai kama ifuatavyo:
and the resultant ruling granting temporary injunctive orders.
In the final result, the record is remitted to the High Court with instructions that the point in limine concerning time limitations be adjudicated before another judge of the High Court prior to any further proceedings

Consequently, we quash the trial court's proceedings subsequent to the discharge of the advocate“4. Walalamikaji wanadai dhidi ya walalamikiwa kwa pamoja na kila mmoja wao, wakiiomba mahakama itoe matamko kuwa walalamikiwa wamekiuka sheria zinazohusu vyama vya siasa pamoja na katiba ya chama chenyewe, kwa sababu ya mgawanyo usio sawa na matumizi ya mali na rasilimali za kifedha za chama kati ya Tanzania Zanzibar na Tanzania Bara; ubaguzi unaotokana na dini na jinsia; pamoja na kutoa kauli na mitazamo inayolenga kuvuruga Muungano kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.”