Oya tuheshimiane mi, mtu mzima nina familia aisee.Mwanaume wa daslamu, shabiki kindakindaki wa assanal washindi wa nafasi ya pili msimu wa 2025/26 bwana Intelligent businessman vp n ya kweli hayo
Shida ni watakao zushiwa kama wasababishi, why polisi wazurure kama askari kanzu mjiniSidhani kama kuna wabongo wengi wenye shauku ya kufuatilia siasa na matukio ya kisiasa haswa yanayohusu CCM au serikali kwa sasa...
Haya matukio yamebakia kuwa sehemu maisha ya viongozi na wafuasi wachache wanufaika wa CCM&co...
Usiwe CCM. Fanya utafiti, nenda maeneo aliyoyataja hakikisha! Njoo then uandike ulichokiona.Huu ni ule wakati ambao mtu akilala na kuota ndoto nyevu basi chap anaamka na kuanza kuandika ile ndoto yake nyevu mtandaoni.
Tuwe makini kweri kweri 😎.