Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 388
- 811
Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini
Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23
Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia mchuzi
Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina
Mwaka wa Tano huu Toka nimetoka kijijini lakini Cha maana nilichofanya hamna
Vijana wenzangu Wameoa Wana watoto, wengine wamejenga lakini Mimi niko mjini nimebumbwa tu
Ukiachilia mbali hilo
Toka nikiwa mdogo ni mtu flani mkimya mno mno mara nyingi napenda kujitenga
Ingawa Huwa tukizoeana nakuwa mchangamfu sana
Muda wangu mwingi nautumia kukaa ndani naweza kukaa ndani Toka asubuh mpaka jioni
Hali hii inanipa wakati mgumu kuzoeana na watoto wa kike
Kutongoza mwanamke mpaka tuzoeane na nijihakikishie kuwa nampenda kweli
Sasa hili ni tatizo kwa sababu nishapigwa matukio kiasi kwamba ni kama moyo ushakufa ganzi
Njia pekee ambayo ingekuwa inanisaidia kuondoa msongo wa mawazi ni Kununua malaya lakini kununua malaya naona kinyaa
Kuna muda nawaza nianze kunywa pombe labda kupunguza mawazo na presha ya maisha niliyonayo lakini nikifikiria naona huko ndo nitakuwa nimepotea zaidi
Njia pekee ambayo nimekuwa nikiitumia hasa ninapozidiwa na msongo wa mawazo ni kujichua
Hali hii imepelekea nimekuwa mraibu wa punyeto
Familia,jamii ,na marafiki Kila muda Kila wakati swali ni Moja unaoa lini
Kuoa Pengine ikawa si tatizo lakini Kuna muda naona kama nikioa ndoto zang ndo nitakuwa nimezizika mazima
Daah kichwa kinawaka moto mpaka nahisi kuchanganyikiwa
N.B: Mnisamehe kwa muandiko mbovu nimejaribu kufupisha