SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,145
- 9,712
Zamani hr wengi ni wanaume basi unakuta ukitaka kazi unatoa rushwa ya ngono unapewa kazi huyo ni mwanamke , sasa mwanaume anatoa hongo ya pesa anapewa kazi .
Kwa miaka hii haki sawa wanaume na wanawake hr ni mwanaume na kazi wanataka mwanaume na mwanamke na wote wanatoa rushwa ya ngonoo dah hii hatari.
Hata kama ni hr mwanamke anapewa rushwa yangono ya mapenzi mwanamke namwanaume na wanapewa kazi kweli hali si hali ni ajabu.