hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Urojo Mtaaamu, tumia mbinu hii

  2. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma. Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ya Makonda na wasanii imebuma, na hii ya Russia itabuma

    Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe. Haujitaji mtu kuutetea. Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
  5. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano.

    Kumekucha wazee? Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25. Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?, Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Duh, kumbe ndege nao hufanya hii kitu!!! Halafu haina madhara kwao!!

    Masturbation among birds is ‘natural’ and should not be punished, say experts Study finds activity is not harmful or caused by stress of captivity – and is in fact more common in wild birds Mon 1 Jun 2026...
  8. JamiiForums Tanzania Katika historia ya mwafrika hii part naichukia sana na inaumiza

  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Walioonesha ujasiri wa kuhoji Wameahidiwa kupandishwa Daraja, Walionyamaza Wakaachwa, Hii Ndiyo Haki?

    Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa. Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Mbele ya Waziri Mkuu, Mzazi afikisha malalamiko ya mwanae kutekwa na Waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Ni huzuni kwa kweli, mwanamke mmoja huko Itigi - Singida ameeleza kwa uchungu mtoto wake alivyokamatwa na polisi wakamfunga pingu kisha kutokomea nae, mzazi wa mtoto huyo alifatilia kituo cha polisi bila mafanikio ya kumuona mwanae, ni siku 40 zimepita hajui mtoto wake alipo. Ameyaeleza hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

    I don't have much to to talk but Hopes ndio always zinaleta maumivu. Ngoja nikale zangu bia.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

    Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi.. Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa...
  13. JamiiForums Tanzania Hadithi ya kusisimua sana ya Jakaya Kikwete na Catherine Conrad

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amekutana na Mwanafunzi wa Udaktari kutokea Chuo Kikuu cha Kairuki, Catherine Conrad ikiwa ni miaka 18 imepita tangu alipomuona katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Dkt. Kikwete alikutana na Catherine, Novemba 14, 2008 akiwa na umri wa miaka...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kitu kizuri lazima kiitwe jina la Mwanasiasa?

    Nisingeandika haya lau si kuchukizwa na kitendo hiki cha kishamba: kila kitu chetu kiitwe jina la mwanasiasa, awe hai au amefariki. Nchi hii ina watu wengi waliochangia kwa kiwango kikubwa na hata kufahamika duniani kutokana na mchango wao. Lakini ni wanasiasa tu, wengi wao wakiwa wameharibu...
  15. JamiiForums Tanzania Kama tunavyowaambia CCM hii nchi sio yenu peke yenu. Vivyo hivyo na CHADEMA hamna hatimiliki ya Ukweli na Demokrasia peke yenu

    Hamjambo! 1. Bado tunawekana Sawa. Tunazungumza. Ili mambo yakae sawa. 2. Kuna vitabia vya ajabuajabu ndani ya nchi yetu. Tabia ya kujimilikisha mambo ambayo hayamilikiwi na yeyote. Mambo ya wote kundi na genge Fulani linahodhi na kujimilikisha. Hiya ni dhulma. 3. Ukweli, uzuri, uponyaji...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini kuanzisha penzi jipya ni gharama namna hii?

    Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani. Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Watu mlioajiriwa hii hali ya kifedha ilishawahi wakuta?

    Habarini, Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April Katikati ya mwezi mtu akikuomba elf 20 unampa hata elf 50 au laki comfortably, na unaona haiku-cost kwenye expenses...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Arsenal hawaogopi? PSG hii si ya mabishoo wanaotembea uwanjani

    Hivi kweli Arsenal F.C. hawaogopi? 😅 Hii si ile PSG ya Lionel Messi, Neymar na vibes za Paris nights, hii ya sasa ni tofauti kabisa. Hakuna show nyingi, hakuna kutembea uwanjani. Hawa wanakaba kama wamekosewa hela 😭 Arsenal wana mpira mzuri, lakini PSG ya sasa ina njaa ya ubingwa kuliko likes...
  19. JamiiForums Tanzania Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake, hii confidence mnaitoa wapi?

    Hapa mtaani Kuna mgogoro umetokea Mume na mke wamepigana makonde usiku huu sasa kilichonishtua ni confidence ya huyu mwanamke Anamtukana Mume wake matusi ya nguoni kilichonishangaza ni kauli yake eti amuache aishi maisha yake kama amemchoka amuache kwani Kuna Wanaume wengi wanamtaka cha ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…