Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,773
Reaction score
3,878
Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi..

Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa vijana wa siku hizi wanateswa na mapenzi wakati uchawi wa mapenzi upo. Kumchomea mwanamke anakufuata mwenyewe na kumdhibiti kwako asitoke nje ya ndoa maisha yake yote.

Anasema mwanamke huwezi Kukaa nae bila kumdhibiti kwa uchawi.. Wenzake wakawa wanaongea kuonyesha kwamba ni jambo la kawaida. Ndivyo inavyo kuwaga hivi? Je uchawi wa mapenzi kweli upo?
 
Ukiona unatumia ushirikina kumdhibiti mwanamke atulie ndani ya ndoa wewe akili hauna.
Ni sahihi kabisa lakini huyo mzee aliongea kitu nilielewa. Alisema usipo mdhibiti kuna watu wachawi watakuja kumfanyia uchawi wa mapenzi ataanza kukuumiza kichwa.. Hiyo imekaaje?
 
Back
Top Bottom