hela

  1. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  2. Applicant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

    Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu...
  3. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake turogeni tupate hela

    Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu kiongezeke hapo sasa nidange ila kwa staha sasa sio unakomba hadi mfupa! Hata chemchem huchimbwa...
  4. instagram

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela ananidai aliniazima. Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"? Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu. Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya...
  6. Digital base

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  7. MkulimaAgriClinic

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Peanut butter ila Hela Sema Wengi Wanachemka kwa kucopy na kupaste

    SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥 1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/= Gharama za uzalishaji Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500 Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg Umeme: 100 per 1kg...
  8. fatherhood

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa biashara, nina mtaji wa 1.2(million moja na laki mbili)

    Habar JF..! Mimi ni kijana, namaliza chuo mwaka huu katika kujibana bana nimeambulia 1.2m. Siku zote kwenye maisha kuomba ushauri ni njia mojawapo wa kujifunza hivyo basi wana JF naombeni mnishauri biashara gani naweza kuifanya na ikanipa chochote kitu kulingana na hali ya sasa. NB: Mimi kama...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanaoishi Marekani watuma hela ndefu kuliko kipindi chochote cha awali, faida za uraia pacha hizi

    Ndugu zetu mlioko Marekani na kwingine hongereni sana, endeleeni kuchuma huko na kuvutia nyumbani, mojawapo wa faida za uraia pacha ni kwamba hautaishia kufanya kazi za wabeba mabox kama unayo elimu yako unafaidi mazima mazima, majirani zetu walionunia uraia pacha imewacost diaspora wao, unakuta...
  10. Leak

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

    bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia. Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
  11. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kuna watu wanapiga hela online? Mimi naona kama uzushi tu!

    Habari wakuu Maisha kwa sasa yanaenda kasi sana, Sisi vijana katika harakati za kutafuta pesa tunakutana na changamoto nyingi sana ,sasa kuna hii njia inaitwa "kupiga hela online ,ukiwa na simu yako na bando " Mimi nimeshafanya uchunguzi sana online businesses wanazosema ni zipi hizo au ni hizi...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnawezaje kutunza hela? Tupeane elimu kidogo ya kutunza pesa

    Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
  14. Baby Nimah

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

    Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma, Jf kuna wa somi wengi na...
  15. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Kuna hela naisikilizia

    Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa. Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha utatuzi wa hiyo shida.Kuna vingi vinachangia. Kila mtu akitimiza wajibu wake kwa wakati hili neno...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama Halima et al wanalipwa hela wasizostahili/za "wizi" na Mamlaka zimebariki, basi mwenye nafasi ya kulipwa asichostahili ni SAWA

    Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya fedha nao "wapige" pesa kama akina Halima wanavyopiga pesa. Simple!
  17. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  18. instagram

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

    Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa. Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

    Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo. Anabainisha kuwa kipindi hicho alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa inamilikiwa na Kanisa la Methodist, ikipokea wageni...
  20. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

    Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID. Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
Back
Top Bottom