Hela ya mwanamke ni ngumu

Iheancha

Member
Jan 4, 2021
18
51
Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana, sijui wakoje.

1618996303658.png

 
Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana,sijui wakoje
Anapeleka kwao huyo alafu mwisho wa siku wazazi wanasema "Ukizaa mtoto wa kike anakumbuka sana wazazi wake kuliko wa kiume"

Sasa wa kiume atakumbuka vp wazazi wakati gharama zote za mji wake zinamhusu yeye.

Mwanamke mchoyo ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Akili hizi za vijana wa sasa ndio zinaibua mijadala ya usawa kwenye jamii......

Ndio maana wanawake wengi hawaoni umuhimu au ufahari wa kuolewa.......fahari kubwa ya mwanamke kuolewa na mwanaume ni kutunzwa.......

Mwanamke anaweza akawa na 10,00/= lakini 1,000/= anayopewa na mwanaume ina maana kubwa sana...imebeba ujumbe mzito sana juu ya uanaume wa mume wake.........

Ndio maana unaweza kukuta mwanamke ambaye ni meneja wa kitengo kikubwa mwenye mshahara mnono akitembea na kijana anayetunza bustani ambaye anajua maana na nafasi ya mwanaume mbele ya mwanamke.......
 
Back
Top Bottom