Kama huna hela usioe pisi kali

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,270
40,085
Kuoa pisi kali huku huna hela au hela yako ni ya mawazo ni kutafuta magonjwa ya moyo na presha. Kwa sababu zifuatazo:-
  • Pisi kali haijui kutumia kuni
  • Pisi kali haijui kulima
  • Pisi kali haijui kuchumia ng'ombe majani
  • Pisi kali haijui kushinda njaa
  • Pisi kali haijui kula vyakula vya kawaida
  • Pisi kali haijui kutembea kwa miguu
  • Pisi kali haijui kutumia magari ya bei nafuu
  • Pisi kali haijui kuzaa watoto zaidi ya wawili
  • Pisi kali muda wowote inataka kiyoyozi
  • Pisi kali haijui kama leo huna hela n.k
Kazi kwenu.
 
  • Pisi kali hijui kama leo huna hela n.k
Kazi kwenu.
Nna pisi kali dunia nzima na sina mia..
Alaf humuambi kitu ..
Mshahara wake wenyew unapita kwangu.
So huna point.
Demu akikuelewa akikuridhia imeisha iyo..
 
Hahaha mkuu toto moja la ki oman ataly sana na shule kaenda.
Mimuombe nini tena mungu mimi.
Mkuu demu akikuelewa kakuelewa t.
Na wanapendaga bila sababu hawa viumbe.

Hahaha mkuu toto moja la ki oman ataly sana na shule kaenda.
Mimuombe nini tena mungu mimi.
Mkuu demu akikuelewa kakuelewa t.
Na wanapendaga bila sababu hawa viumbe.
Na litakuacha pia bila sababu
 
Back
Top Bottom