Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha.
Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani.
Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,
Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi, hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.
Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume...
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni.
Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units.
Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu.
Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka kimataifa kabisaaaaaaa hata FIFA wanaweza kulitumia katika orodha ya anthems za World Cup 2022.
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto hospital Yani wanawake mnamaujinga mengi Sana mpaka mnatia kinyaaa. Acheni kuwa ombaomba uzeni hata ndizi...
Huu utafiti nimeufanya kwa muda mrefu au zaidi ya miaka mitatu na jibu nililopata ni kuwa hamna njia yoyote ya kupata hela bila kufanya kazi, yaani uamke asubuhi hela zianze kuingiia zenyewe bila kufanya kazi. Lakini pia nimegundua kuna njia nyepesi nyepesi za kupata hela na nyepesi kuliko zote...
Wataalamu wa mitandao naomba mnijibu Kama ni kweli inawezekana kupata hela kwa kuangalia video online.
Nimeuliza kwa sababu Kuna dada flani(rafiki yangu) alikuwa anapost picha za screenshots status zikionyesha ameingiza hela kwa kuangalia video online nikamuuliza kweli unapata hela akasema...
Simu Janja zinatengenezwa kwa madini kadhaa ikiwemo dhahabu, fedha, platinamu, shaba na paladi. Ukikusanya simu nyingi na kuvuna madini hayo unaweza kuwa milionea ndani ya muda mfupi sana
Imeajwa kuwa Iphone ina gramu 0.034 za dhahabu hiyo ni sehemu ya utajiri unaobaki hata baada ya simu...
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.
serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
Bila kujali wazee, vilema, watoto, akina mama wenye mimba, watu hupigana vikumbo kila siku kugombea viti kwenye daladala na mabasi ya mwendokasi.
Adha hii inayowawakabili wakazi wa jijini la Dar es Salaam na miji mingine mikubwa,haionekani kupata ufumbuzi bado.Katika purukushani hizo wakati...
Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli...
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS...
Bado inaonekana kuna hela za kitanzania zimefichwa nje ya mfumo wa mabenki. Hiv serikali haiwezi kuamua kuprinti aina mpya noti za 10,000/= na 5,000/= ili ilazimishe watu kwenda benki kubadili kwa sharti la watu kuwa na account hasa kwa wenye kubadili kiwango flani cha fedha.
Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini.
Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima.
Nimewahi kukaa na chaja ya...
Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week na kodi unalipa.
Je, siku ukigundua kuwa huyo pisi kali ana mtu ampendaye ambaye hatoi hata 100, ila...
Yaani tu basi.............
A Kenyan, on Wednesday, September 8, scooped the most coveted continental award bagging Ksh165 million at the African Green Revolution (AGR) summit.
Kenyan entrepreneur, Jehiel Oliver, won the inaugural Agriculture, Youth and Technology (AYuTe) Africa Challenge...
Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana.
Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.