Tetesi: Inadaiwa UDOM imekosa hela za kulipa posho za wahadhiri

Kisanduku

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
284
482
Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana.

Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho zao. Wahadhiri hao wameambiwa watapewa chuo hakina fedha hadi November ndipo watalipwa posho zao.

Huu ni mwezi September. Hivyo kwa miezi miwili hadi November wahadhiri hao watakuwa wanafanya kazi bila posho yoyote.

Utafiti wetu unaendelea kuona kama vyuo vikuu vingine hali ni hiyohiyo
 
Mimi nafikiri posho zilishabaki hazina maana watumishi kibao toka waajiriwe hawajawahi kugongana na posho hata kwa bahati mbaya....
 
Back
Top Bottom