Should Google also charge Tanzanians to open account, register email etc?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,890
2,000
It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.

WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from its operation.
Tanzania there s a gang, led by few, thinking this country is for themselves, saying whites, especially americans and UK people are "mabeberu" -apartheid very bad word and color and racial discrimination.

Google users in Tanzania over 23 millions, should Google company charge us to open account, to register mail, etc? Should we now let Google Charge us?

Your country contributes ~0% of Google’s annual revenues by its use of Google’s services. Literally, Google doesn’t even know you exist on its economic map.

In discussing its markets, do you even think the name of your country ever pop’s up on Google’s table? It’s easier to imagine them pay special attention to “the UK market” or “the Chinese market”, etc. But not “the Tanzanian Market”, mon ami. Only perhaps on “the African market”. So stop pretending you’re something significant.

It’s really ridiculous, therefore, to hear someone in our government dreaming of taxing Google when, arguably, we benefit more from Google than Google does from us. This is well-nigh idiocy.

Besides, the international tax law has made it difficult for even big nations to tax companies like Google. The UK is the case in point.

The law is designed such that startups pay most of the tax to the country of their origin that to the countries where they make their sales. So, if a startup is based in country X, but makes most of the sales in country Y, the startup will pay most of the tax to country X. So you can imagine how your claim of share in the Google tax bracket fades into oblivion.

=======

Waziri mchora mawe anatoka Singida, anajihisi nchi ni yake na anajiita Fidel Castro, anahisi ndiye rais wa 2025 na yeye na genge lake amejipanga na huenda, narudia huenda anamhujumu aliyepo kwa mabmbo afanyayo, huenda!

Wwaka 2015 alichora mawe yote nch nzima jina lake, simtaji, mnamjua.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,659
2,000
WE, Tanzanian use google for free.
Umeandika uongo jaji mfawidhi aliyekupa huo ujaji mwambie kampa tapeli

Unatumia Google for free wapi wewe? Bila kuweka pesa za kifurushi huwezi tumia google wewe.Wanakatana juuu kwa juu na mitandao ya simu wewe ukishalipia kifurushi

Hukupelekwa kujifunza kiingereza ukitumie kuongopa eti " we use google for free" nyooooooooooo!!! Unajua hata google wenyewe wanakuona akili huna wanashangaa wewe ndie msomi na kingereza chako koko
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
6,896
2,000
Umeandika uongo jaji mfawidhi aliyekupa huo ujaji mwambie kampa tapeli

Unatumia Google for free wapi wewe? Bila kuweka pesa za kifurushi huwezi tumia google wewe.Wanakatana juuu kwa juu na mitandao ya simu wewe ukishalipia kifurushi

Hukupelekwa kujifunza kiingereza ukitumie kuongopa eti we use google for freee nyooooooooooo!!!
Pale unapodhani ulipewa fuvu kwa ajili ya kushikilia meno.
 
nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,409
2,000
Hii kitu ndio maana jamaa alisema "wanafikiria", kwamba ana wazo lake la ajabu kichwani sasa anataka kulipeleka kwenye utekelezaji bila kujua atumie njia ipi, akitekeleza hilo, tutaongoza kuwa taifa la kuzalisha wajinga wengi duniani.
Mjinga no wewe unayetaka usilipe kodi kwa mitandao ya kijamii usiyoitumia kwa tija unaandika majungu,unafiki,n.k halafu unataka iwe bure,pussy wewe
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,890
2,000
Tumia lugha moja pumbavu au ndiyo unajiona una akili kuliko mwigulu,Kiswahili kwanza huo ujinga wako mwingine kawandikie mabwna zako haohao.

Kodi kwenye google sijui whatsapp,instagram,badoo,fb,n.k haihepukiki ni lazima kwanza mnaandika ujinga na umbea tu hamba vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi hii,kwisha!!
mwanangu wewe huna tofauti na MICROPHENE mwenye wivu na mawakili wasomi, wahasibu na ma engineer.
Kama hujui kizungu si lazma usome na kuelewa, ndio maana nimetaka ujumbe uwafikie wenye kuweza kusoma na kuelewa, wewe nenda kwenye page za madenge anaandika kwa kiswahili
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,403
2,000
It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.
WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from its operation.
Tanzania there s a gang, led by few, thinking this country is for themselves, saying whites, especially americans and UK people are "mabeberu" -apartheid very bad word and color and racial discrimination.

Google users in Tanzania over 23 millions, should Google company charge us to open account, to register mail, etc? Should we now let Google Charge us?

Your country contributes ~0% of Google’s annual revenues by its use of Google’s services. Literally, Google doesn’t even know you exist on its economic map.

In discussing its markets, do you even think the name of your country ever pop’s up on Google’s table? It’s easier to imagine them pay special attention to “the UK market” or “the Chinese market”, etc. But not “the Tanzanian Market”, mon ami. Only perhaps on “the African market”. So stop pretending you’re something significant.

It’s really ridiculous, therefore, to hear someone in our government dreaming of taxing Google when, arguably, we benefit more from Google than Google does from us. This is well-nigh idiocy.

Besides, the international tax law has made it difficult for even big nations to tax companies like Google. The UK is the case in point.

The law is designed such that startups pay most of the tax to the country of their origin that to the countries where they make their sales. So, if a startup is based in country X, but makes most of the sales in country Y, the startup will pay most of the tax to country X. So you can imagine how your claim of share in the Google tax bracket fades into oblivion.

Waziri mchora mawe anatoka Singida, anajihisi nchi ni yake na anajiita Fidel Castro, anahisi ndiye rais wa 2025 na yeye na genge lake amejipanga na huenda, narudia huenda anamhujumu aliyepo kwa mabmbo afanyayo, huenda!

mwaka 2015 alichora mawe yote nch nzima jina lake, simtaji, mnamjua.
Mwigulu aachane na hii biashara unless alikuwa anamaanisha kitu kingine tofauti na alivyotafsiri huyo mtu wa google.

Kodi genuine zisizo na ugomvi ziko nyingi tuu mfano wawatambue mafundi wote nchi nzima wawape reseni za kazi za angalau miaka 2 kwa viwango reasonable watapata pesa kiasi.

Pili serikali inatoa pesa kwenye miradi ya ujenzi nk huko kuna sheria za ajira wawababe wakandarasi waajiri wasimamizi kama inavyotakiwa kisheria then kwenye makipo serikali ichukue PAYE yake.Kama TRA wanavyofanya halipwi mkandarasi bila kodi sasa uzembe wa idara ya kazi usitufikishe kusiko.

Tatu wapunguze matumizi ya utawala yasiyo na tija,waajiri watu kwa mikataba na waunganiishe na kupunguza utitiri wa taasisi zisizo na tija.

Mwisho wawasisitize wananchi wadai lisiti kila wanunuapo maani EFD hazifangi Kazi kabisa na hili la kununua bila lisiti kwenye maduka na bidhaa zilizoidhinishwa walisimamie ukibainika mnunuzi na muuzaji hatua kali zichukuliwe,mbona pesa nyingi tuu unapotea kwa njia rahisi kama hizi?
 
wewe said and reasonable
 
kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
859
1,000
It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.
WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from its operation.
Tanzania there s a gang, led by few, thinking this country is for themselves, saying whites, especially americans and UK people are "mabeberu" -apartheid very bad word and color and racial discrimination.

Google users in Tanzania over 23 millions, should Google company charge us to open account, to register mail, etc? Should we now let Google Charge us?

Your country contributes ~0% of Google’s annual revenues by its use of Google’s services. Literally, Google doesn’t even know you exist on its economic map.

In discussing its markets, do you even think the name of your country ever pop’s up on Google’s table? It’s easier to imagine them pay special attention to “the UK market” or “the Chinese market”, etc. But not “the Tanzanian Market”, mon ami. Only perhaps on “the African market”. So stop pretending you’re something significant.

It’s really ridiculous, therefore, to hear someone in our government dreaming of taxing Google when, arguably, we benefit more from Google than Google does from us. This is well-nigh idiocy.

Besides, the international tax law has made it difficult for even big nations to tax companies like Google. The UK is the case in point.

The law is designed such that startups pay most of the tax to the country of their origin that to the countries where they make their sales. So, if a startup is based in country X, but makes most of the sales in country Y, the startup will pay most of the tax to country X. So you can imagine how your claim of share in the Google tax bracket fades into oblivion.

Waziri mchora mawe anatoka Singida, anajihisi nchi ni yake na anajiita Fidel Castro, anahisi ndiye rais wa 2025 na yeye na genge lake amejipanga na huenda, narudia huenda anamhujumu aliyepo kwa mabmbo afanyayo, huenda!

mwaka 2015 alichora mawe yote nch nzima jina lake, simtaji, mnamjua.
HILI JINGA JINGA LINA AGENDA YAKE, ILE MIVIRANJA MISHAMBA MISHAMBA inayodhani kujaza mivyeti ndio kinga ya matumbo yao. akiongeaga anakera, anatuharibia maisha kwa ujinga wa alichonacho kichwani
 
Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,211
2,000
Umeandika uongo jaji mfawidhi aliyekupa huo ujaji mwambie kampa tapeli

Unatumia Google for free wapi wewe? Bila kuweka pesa za kifurushi huwezi tumia google wewe.Wanakatana juuu kwa juu na mitandao ya simu wewe ukishalipia kifurushi

Hukupelekwa kujifunza kiingereza ukitumie kuongopa eti " we use google for free" nyooooooooooo!!! Unajua hata google wenyewe wanakuona akili huna wanashangaa wewe ndie msomi na kingereza chako koko
Wacha upuuzi kama hujui kitu unyamaze shenzi kabisa😡
Unadhani google anapata nini kwenye kifurushi chako unacholipa Voda?

Unahisi value tuyopata google wakiamua kutulipisha unadhani wanufaika wangapi kuanzia mashuleni hadi makazini wataweza kulipia huduma yao?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom