Mnatumia “photoshop” mnapiga hela mnamdanganya Rais Samia

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
CB17F155-266E-4C95-B266-03A9B1DEDFAD.jpeg

KUNA WAHUNI WAMEPIGA PESA NDEFU SANA HAPA , YAANI NASIKIA AIBU HALAFU INANIUMA HII DEAL IMENIPITA KUSHOTO
 
Combat na ushungi haviendani. Wazungu wataogopa kuja. Hakuna kitu wazungu wanaogopa kama misimamo mikali ya kidini, kuvaa maushungi, ugaidi n.k

Mama ashauriwe. Hii film inakwenda kuzinduliwa Marekani ajue. Atoe ushungi au awaachie kina Hoyce Temu waigize hiyo film.

Ova!.
 
Wajinga wake wameshindwa hata ku design vitu vya maana Sasa wapuuzi kama hao ndio wako kwenye nafasi za maamuzi kwa Nini Nchi isikwame

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wale mgambo wa jiji wanawake ambao mara nyingi huwa wanafukuza mama ntilie, hasa maeneo ya kariakoo.
Wengi wao huwa na miili mikubwa sana sababu ya kula wao yale majungu wanayoyakamata. Hunenepa kiasi cha magwanda yao kutowatosha.

Comment yangu haihusiani na mada ya uzi. Nimewaza kwa sauti tu.
 
Just saying....

Badala ya huyo binadamu wangemuweka Simba au Twiga hizo picha zingeuza zaidi..., Nadhani watalii wanakuja kuangalia vitu kama hivyo na sio watu / mtu (kama wanahitaji sana watu, mmasai angetosha)

By the way sidhani kama hii ndio kazi pekee iliyofanyika ni mengi yatakuwa yamefanyika yenye tija...., hii picha ni kama nyongeza tu.
 
Kwa hiyo Chief Hangaya=Mgambo wa jiji?
 
Combat na ushungi haviendani. Wazungu wataogopa kuja. Hakuna kitu wazungu wanaogopa kama misimamo mikali ya kidini, kuvaa maushungi, ugaidi n.k

Mama ashauriwe. Hii film inakwenda kuzinduliwa Marekani ajue. Atoe ushungi au awaachie kina Hoyce Temu waigize hiyo film.

Ova!.
Au upungue ukubwa.. avae kama wa mabeto...
My foot
 
Just saying....

Badala ya huyo binadamu wangemuweka Simba au Twiga hizo picha zingeuza zaidi..., Nadhani watalii wanakuja kuangalia vitu kama hivyo na sio watu / mtu (kama wanahitaji sana watu, mmasai angetosha)

By the way sidhani kama hii ndio kazi pekee iliyofanyika ni mengi yatakuwa yamefanyika yenye tija...., hii picha ni kama nyongeza tu.
yani badala ya kutangaza utalii wanamtangaza Chief Mama Samia na mbaya zaidi ni photo shop tupu.
 
Combat na ushungi haviendani. Wazungu wataogopa kuja. Hakuna kitu wazungu wanaogopa kama misimamo mikali ya kidini, kuvaa maushungi, ugaidi n.k

Mama ashauriwe. Hii film inakwenda kuzinduliwa Marekani ajue. Atoe ushungi au awaachie kina Hoyce Temu waigize hiyo film.

Ova!.
Gharama zinaweza kuwa kubwa wangeza hata mchukua msanii mkubwa wa hollwood au msanii yeyote mkubwa wa mbele kucheza hiyo film, rais angebaki kuangaikia mambo mengine yanayo husu nchi
 
Back
Top Bottom