Habari za jioni,
Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...